nina mchumba ambae ana graduate jumamosi hii ya keshokutwa,kikubwa najiuliza ni zawadi gani ninunue itamfurahisha mpenzi wangu ambae atakua mke wangu soon na ataithamini? Nimekua siku zote shallow sana kununua zawadi,tatizo si pesa ila uchaguzi,naombeni tafadhali mnisaidie
Kama tatizo ci pesa ingekuwa vizur sana ungemchukulia hata noan tu ingemcaidia
nina mchumba ambae ana graduate jumamosi hii ya keshokutwa,kikubwa najiuliza ni zawadi gani ninunue itamfurahisha mpenzi wangu ambae atakua mke wangu soon na ataithamini? Nimekua siku zote shallow sana kununua zawadi,tatizo si pesa ila uchaguzi,naombeni tafadhali mnisaidie
Mvishe Pete ya uchumba...

Mnunulie noah si unajua foleni za mjini
hapo umenena.Mvishe Pete ya uchumba...
hahaha! Loh! Embu muulize katenga sh ngapi kwa ajili ya hiyo zawadi?
mnunulie scania ya mizigo aanze biashara soon!!!! na hii akiweza simamia vizuri atanunua noha , range, costa na mambo kama hayo.... nguo na kila kitu atakacho.....