jaribu kutumia muda wako mwingi kufanya kazi, ukitoka hapo nenda mazoez, au pitia baa mpaka saa 4, kisha oga ulale, usiruhusu akili yako kuwaza hiko kitu, ipo siku utajabaka kama wa kiume.
Me ona eh! yaani mtu mpaka unashidwa kuelewa, jitu linakuja na hoja utumbo utumbo hapa unashindwa kujua hata umjibu vipi mwishowe nawe unaamua umjibu kwa lugha ambayo unahisi atakuelewa pengine atanyooka!mwe majanga haya ndugu yangu!