Mnisaidie jamani Guys

Glisten

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
301
22
Me napenda sana kuchek Porn Videos na ninajaribu kuacha siwez Nifanyeje coz huwa nikiangalia nakuw mihemko sana.. Nifanyeje.?
 
jaribu kutumia muda wako mwingi kufanya kazi, ukitoka hapo nenda mazoez, au pitia baa mpaka saa 4, kisha oga ulale, usiruhusu akili yako kuwaza hiko kitu, ipo siku utajabaka kama wa kiume.
 
Me napenda sana kuchek Porn Videos na ninajaribu kuacha siwez Nifanyeje coz huwa nikiangalia nakuw mihemko sana.. Nifanyeje.?
Pigwa nao saaaana ili uwe mngese,then hutotaka tena kuangalia utakuwa ukijisikia tu unakuja tunakutovuga unaenda kulala, meskia eeh?
 
Pigwa nao saaaana ili uwe
mngese,then hutotaka tena kuangalia utakuwa ukijisikia tu unakuja
tunakutovuga unaenda kulala, meskia eeh?

anatutafutia ban kwa hoja zake hizi..!
hivi siku nyingine akikuambia ana hamu ya kuliwa,anaomba ushauri,si kututafutia ban huku!?
 
anatutafutia ban kwa hoja zake hizi..!
hivi siku nyingine akikuambia ana hamu ya kuliwa,anaomba ushauri,si kututafutia ban huku!?

Me ona eh! yaani mtu mpaka unashidwa kuelewa, jitu linakuja na hoja utumbo utumbo hapa unashindwa kujua hata umjibu vipi mwishowe nawe unaamua umjibu kwa lugha ambayo unahisi atakuelewa pengine atanyooka!mwe majanga haya ndugu yangu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom