Mniombee tafadhali

Kila la kheri kwa kufanya uamuzi sahihi...
 
Umechagua fungu lililo jema Mungu akusaidie sana, jifunze kuandika Mungu na siyo mungu, kila lakheri kwako.
 
Hayo ndo maneno napenda kuona wanaume tunachakata mbususu. Pasha kiporo mkuu, makabichi yanapashwa tu kama kawaida

Mbususu zimeumbwa ili kuchakatwa

Naisubiria kule kimashihara hiyooo🤣🤣🤣
Jana alitaka nikapashe kiporo tatizo yupo mkoa mwengine lakini naona hayupo mbali kutafunwa. Nitaleta uzi kule kimasihara ila hii kimasihara ilio komaaa😂
 
Biblia iliposema mlee mtoto katika njia ipasayo nae hatoiacha hata atakapokuwa mzee ilisema vyema sana, maana ww mwenyewe unafika mahali unajishtukia na kutamani kuishi vile wazazi wamekulea, hongera kwa kuona badiliko.
 
Umefumaniwa Mara ngapi na wale jamaa wa mafuta nazi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…