Ah namuona jamaa kapanikNaona wqnatandika majamvi na magunia juu halafu wanapaka rangi
Mbona nchi zingine zipo sana na mvua zinanyesha kama kwenu?
Ujanja ujanja mwingi waswahili ndio maana wanalalamika ooh kwanini eti usalama [emoji1] hawadhibiti bidhaa za Kenya
Wajerumani wanatengeneza nyumba kiwandani wewe wanakupalia kwenye meli au malori unakuja kufungiwa kila kitu
Kama unavyofungiwa boda.
mkuu kwenye avatar ww ni huyo mwenye mimba?Fundi mwenyewe mfupi na mnene kama GENTAMYCINE unadhani atajenga vizuri kweli.
Nyumba ya aina hii usijenge kama una hela ya mawazo...... utanishukuruNi nyumba za kisasa lakini bado hatuna mafundi wazuri wa kuweza kuzifanya ziendane na hali zote, zimekuwa ni nyumba nzuri sana kipindi cha kiangazi, kipindi cha mvua nyingi ni majanga matupu zinavuja mno lakini bado watu wanajenga sana nyumba kwa mtindo huo ambao sio rafiki hasa kipindi cha mvua.
Kuna mwenye nyumba hapa kila ikinyesha mvua lazima umuone fundi kapanda juu ya bati(navyotype tayari kuna fundi juu ya bati) na wapangaji wake wanalalamika sana maji kuingia ndani na kulowanisha vitu. Kila akiendelea kujenga style ni hiyo hiyo lawama nyingi akiziangushia kwa mafundi wake.
Mafundi upi ushauri wenu juu ya hili?
Upi ni mtindo mzuri wa kupaua nyumba kwa mazingira ya huku kwetu na aina ya mafundi tulionao mitaani?
View attachment 2805821
Ndio ni mimi vipi unataka kunizalisha?mkuu kwenye avatar ww ni huyo mwenye mimba?
Yaani umeongea maneno ya kiufundi mpaka mimi nimstameza kuna sehemu wanajenga nimepita nikamuuliza fundi vipi hapo ushaweka duct au bado?Sio kila fundi aweza kujenga contemporary, ubahili wenu ndio unawafikisha hapo.
Fundi hajui hata kuna kitu kinaitwa DUCT...mnaishia kuwekewa mabombavya inch 4 eti yavune maji yote?
1. Hakuna duct ya kushusha maji
2. Slop ndogo
3. Hakuna mfereji mkubwa wa kuvuna maji
4. Ukutani kwenye maungio hskuna bitumen maalum
Unategemea isivuje?
ephen_
🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️Fundi mwenyewe mfupi na mnene kama GENTAMYCINE unadhani atajenga vizuri kweli.
Shangaa na weweAh namuona jamaa kapanik
Hizo style za bat huon zimejaa kwa wachina huko na south america
tafuta fundi mzuri na umlipe vizuri.Kipi kifanyike ili kupata ubora halisi wa hizi nyumba? Nyumba unajenga haipiti hata mwaka inavuja
Hao hawaweki zege badala yake wanatumia mabati ndio maana zinavujaNi nyumba za kisasa lakini bado hatuna mafundi wazuri wa kuweza kuzifanya ziendane na hali zote, zimekuwa ni nyumba nzuri sana kipindi cha kiangazi, kipindi cha mvua nyingi ni majanga matupu zinavuja mno lakini bado watu wanajenga sana nyumba kwa mtindo huo ambao sio rafiki hasa kipindi cha mvua.
Kuna mwenye nyumba hapa kila ikinyesha mvua lazima umuone fundi kapanda juu ya bati(navyotype tayari kuna fundi juu ya bati) na wapangaji wake wanalalamika sana maji kuingia ndani na kulowanisha vitu. Kila akiendelea kujenga style ni hiyo hiyo lawama nyingi akiziangushia kwa mafundi wake.
Mafundi upi ushauri wenu juu ya hili?
Upi ni mtindo mzuri wa kupaua nyumba kwa mazingira ya huku kwetu na aina ya mafundi tulionao mitaani?
View attachment 2805821
Sipendi vinavyoonekana kujibana bana...Binafsi kimuonekano naipenda sana ila kwa nnaypyashuhudia naona kabisa haifai.
Pole sana, pia asante kutusanua tuliokuwa na mawazo ya kujenga aina hiyo ya nyumbaHuu uzi ni kama umenilenga mimi,lakini kwa kua ulikua ujenzi wangu wa Kwanza sijilaumu nimejifunza.
Lakini Kamwe sitojenga Dream House nifanye Hidden Roof, ukweli ni heri umwage Slab huko juuu kama wewe shida ni hutaki kuona BATI.
Lakini kujenga hidden roof tusidanganyane hizi nyumba za hivi si za kuishi mwanadamu ni special kwa wanyama wafugwao.
Aseee nimefumua Gypsum zote kwasababu zimeloa zimeshuka chini, hii hasara sitoisahau ila nimekoma na sirudiiii.
Hata uje uniambie wewe ni fundi uliebobea umesomea chuo bora duniani cha ufundi, Hunishawishi kuhusu Hidden Roof nikakuelewa.
Mkuu kuwachamba watu sio fair. Ungesema hivyo ni vitu gani ili wadau waweze kuwachallenge mafundi na kufanya maamuzi sahihiSio kila fundi aweza kujenga contemporary, ubahili wenu ndio unawafikisha hapo.
Fundi hajui hata kuna kitu kinaitwa DUCT...mnaishia kuwekewa mabombavya inch 4 eti yavune maji yote?
1. Hakuna duct ya kushusha maji
2. Slop ndogo
3. Hakuna mfereji mkubwa wa kuvuna maji
4. Ukutani kwenye maungio hskuna bitumen maalum
Unategemea isivuje?
ephen_
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni uzembe wa CCM
Bongo nyoso. Mafundi wa nyumba Bongo mbona wanahesabika! Niamini nachokuambia. Asilimia kubwa ya mafundi ni vilaza na asilimia kubwa ya nyumba ziko chini ya kiwango.Fashion inawatesa watu, mafundi wetu bado kuna mahala wanafeli kwenye fashion hii.
chadema unawachia wapi..huyo kijana ni mpizani tuh ukimchunguza hawanaga kipaumbele maishani ndio zao haoNi uzembe wa CCM
Hahahaaa, mkuu kwema?Fundi mwenyewe mfupi na mnene kama GENTAMYCINE unadhani atajenga vizuri kweli.