Mnayakumbuka ya Dkt. Ulimboka na Awamu ya Nne? Je, yupo wapi sasa?

we uko dunia gani, tangia JK astaafu hakuna nyongeza? Are you serious? Mkiambiwaga nyie siyo watu wa kawaida muwe mnaelewa. Mnajiandikia tu km wehu flani hivi
Hakuna Nyongeza miaka yote ya JPM

tangu Samia kaingia nae hajaongeza hata Tzs. mia

Wewe akili ndogo hujui tofauti ya Nyongeza ( Salary increment) na promotion

Samia kafanya promotion kwa baadhi tu lakini hajaongeza hata ths moja na mwezi July akawaahidi watu na pakapita Kimya

Tuliza Mihemko kijana…Serikali yenyewe inakiri hakuna Nyongeza tangu 2015 lakini Wewe Mtu kutoka Jupiter unabisha
 
Mkuu funguka ueleweke code ziko nje ndani.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
we utasubiri mpaka unakufa hayo unayoyawaza hayawezi tokea
Vyombo vya usalama vya kutisha raia havina tija tena miaka ya sasa. Enzi za cold war viliweza ila muda wao umeisha. Tunahitaji sophisticated security forces na sio kama walinibambikizia kesi nikiwa Tunduma.
 
ubalozn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…