Mnawezaje kuwa na Long Distance Relationships?

Mnawezaje kuwa na Long Distance Relationships?

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,855
Habari wasee!

Ni Dakika Chache tu before sijaandika uzi huu mshikaji wangu ametoka Kugombana na Manzi wake kisa tu Hampigii simu mara kwa mara. Mshikaji anaishi Mwanza na Demu wake yuko Chuo huko Dar. Mshikaji anadai manzi analalamika inapita siku Mshikaji hajampigia anaona kama vile hampendi.

Sasa Haya mapenzi ya Long Distance yanayotegema Phone Communications Mnawezaje yamudu nyie. Kwasababu kuna wengine wako kwa Long Distance Relationships kwa Muda mrefu na hayajawahi Vunjika.

We Fikiria mtu usipompigia wala kumtext siku nzima tayari anaanza kutia shaka labda unamcheat au humpendi...sasa kweli hata kama ni wewe unaweza pata muda wa kutext 24 hours.

Sasa Just Imagine uaminifu unaweza potea kwa wenza kisa Umbali sasa nyie wenzetu mmewezaje kudumu kwa Long Distance Relationships na Vijana wengine ambao ndio wengi wako kwa Aina hii ya mahusiano zaidi wafanyeje kudumu.
 
Maisha yetu yanakua vile tunavyochagua yawe🙃🙃🙃
Unaweza kuwa nae ndani na akawa kivuruge hadi dada au kaka zako wakawa shemeji au wifi zako
Na unaweza kuwa nae mbali akaishi akijua anafanya nini na anapenda nini
 
M
Habari wasee!
Ni Dakika Chache tu before sijaandika uzi huu mshikaji wangu ametoka Kugombana na Manzi wake kisa tu Hampigii simu mara kwa mara... Mshikaji anaishi Mwanza na Demu wake yuko Chuo huko Dar..Mshikaji anadai manzi analalamika inapita siku Mshikaji hajampigia..anaona kama vile hampendi..


Sasa Haya mapenzi ya Long Distance yanayotegema Phone Communications Mnawezaje yamudu nyie...Kwasababu kuna wengine wako kwa Long Distance Relationships kwa Muda mrefu na hayajawahi Vunjika...

We Fikiria mtu usipompigia wala kumtext siku nzima tayari anaanza kutia shaka labda unamcheat au humpendi...sasa kweli hata kama ni wewe unaweza pata muda wa kutext 24 hours..

Sasa Just Imagine uaminifu unaweza potea kwa wenza kisa Umbali sasa nyie wenzetu mmewezaje kudumu kwa Long Distance Relationships na Vijana wengine ambao ndio wengi wako kwa Aina hii ya mahusiano zaidi wafanyeje kudumu..
Mshkaji wako au mumeo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom