Nina mteja wa Jumla nimemremove kwenye group zoteKuna mteja alikua anapiga simu anaomba bidhaa, nampelekea nikifika anaanza maneno mara package ndogo, nenda hela utaijia ukifata hela manenooo....baada ya muda anapiga simu nipeleke tena nikichelewa kupokea anafoka.
Nilimchoka.....nikamwambia kuanzia leo sikuuzii alijua utani piga simu namwambia mzigo upo ila ila sikuuzii, kila siku akawa anapiga jibu lile lile sikuuzii, juzi kaja kwa kujificha anafata mzigo mwenyewe pambafff zake mteja mfalme my a s s
"Usijali next time ntakujali mteja wangu wa nguvu" in your voice!Nimevumilia ndo hata sijaongea leo wakati wanafata mzigo
Tunafokewa jamani.. saa nyingine naweka simu loud naendelea na kazi zangu, akimaliza anakata mwenyewePotelea pote ila mteja sio kunifokea dada masai siwezi kumvumilia , biashara ni ukarimu na kuwa na lugha nzuri ila mh eti anipelekeshe aisee sitaweza
Do not internalize what these motherfvckers say!Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery
Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,
Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.
Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,
Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order
Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Kuna watu ni wapuuzi anaona akitoa pesa ana uhuru wa kuongea chochoteNina mteja wa Jumla nimemremove kwenye group zote
Nimempa tu na ukweli nikamwambia be humble, kununua mzigo kwangu isiwe sababu ya wewe kunigeuza dampo la maneno machafu.. juzi nimeona text yake nimuadd kwenye group ila bado sijaisoma.
Wateja wengi hawakubali kulipia before deliveryTafuta mtu wa kuaminika kama ni mizigo midogo tafuta boda wa karibu na unapofanyia kazi, gharama za delivery mwambie ni juu yake. Akitaka kujua gharama wewe mpe boda tu wakubaliane nae.
Kingine ni kuwa kama ni uber au bolt mteja anatuma location ya alipo alafu wewe ukifungua link itakuuliza unafungulia wapi? Chagua moja ya hizo app "kumbuka usiweke default ili iwe inakuuliza wakati wote" itakuletea gharama na umwambie mteja gharama yako ya usafiri ni hii.
Hapo unamwita bolt unampa hiyo location na namba ya mteja anampelekea mzigo wake.
Hii itasaidia maana kupitia kampuni hizi gharama inakuwa chini kuliko kukubaliana kwa simu
Unaachana nae tu for good anaweza kujishtukia akaja kuwa mteja mzuri tu.Dada Hornet mimi nitakubali kufokewa pale nimekosea ila sio mtu anifokee kosa anahitaji nimhudumie katika huduma nisizokuwa nazo eti nimnyenyekee hapana jamani, tutashikana mashati hata humo kwenye simu .
Kinachouma kuna muda unampata mteja ambaye anakuja kwako anahitaji pia umheshimu pia kulingana na kazi aliyonayo asijue yawezekana na wewe una kazi tena zaidi ya aliyokuwa nayo ila ufinyu wa mshahara umekufikisha hapo na wewe kwenye kuongeza kipato ni hapo ataanza kukuendesha anavyotaka huku akijipigisha simu za kazini kwake mara atoe order mara vile asijue wewe pia una kazi mbali na biashara na unamzidi mbali tu .Wateja wengi hawakubali kulipia before delivery
Kutumia bolt ni risk zaidi
Bora awe na boda wawili waaminifu
Unaachana nae tu for good anaweza kujishtukia akaja kuwa mteja mzuri tu.
Ujinga umewajaa, na unakuta kitu chenyewe anachokutuma cha elfu 40.Wabongo kwenye hii huduma wamekuwa tofauti sana
Mi sifanyi huo ujinga kwanza misumbufuKwakweli mtu kama hataki aje tu dukani, mambo ya kubembelezana sometimes yanakera basi tu yani
Unamuitikia ..."ndiyo biss,nimekusikia.Tutafanya kwa kadiri ya uwezo wetu uliyaelekeza.Ndiyo,ndiyo mkuu.Nakupata vema muheshimiwa.Haina mbaya mkuu wangu.Asante kwa kutoa muongozo na maelekezo mkuu.Asante sana mkuu"...!Mteja kaniambia nafanya biasharara kishamba jana kwa sababu hakuna free delivery
Yaani aliniwakia nahisi alikua ana stress,
Leo katuma mwingine kuchukua mzigo.
Kwa kifupi jana alinigombeza sana,ni kitambo sana kukutana na mteja mkorofi hivi,
Hayo maneno aliongea kwa simu wakati anaweka order
Je wenzangu mnadeal vipi na wateja waliovurugwa
Acha jeuri yako dugu yangu veve!Naitaji zigo ya sling milioni bili feza taslim tapata.Kuna mteja alikua anapiga simu anaomba bidhaa, nampelekea nikifika anaanza maneno mara package ndogo, nenda hela utaijia ukifata hela manenooo....baada ya muda anapiga simu nipeleke tena nikichelewa kupokea anafoka.
Nilimchoka.....nikamwambia kuanzia leo sikuuzii alijua utani piga simu namwambia mzigo upo ila ila sikuuzii, kila siku akawa anapiga jibu lile lile sikuuzii, juzi kaja kwa kujificha anafata mzigo mwenyewe pambafff zake mteja mfalme my a s s
Siuziiiii 🤣🤣🤣Acha jeuri yako dugu yangu veve!Naitaji zigo ya sling milioni bili feza taslim tapata.
Kuna kutu baya gani dugu..eenh?Hata Kaserkandis haikuvi hivo dugu ake!Uzia mimi zigo yote napata super-profit!Zigo yote nakua kushnehi ghaegha!Tike?Siuziiiii 🤣🤣🤣
Wafanyabiashara wengi wa Tanzania wanafanya biashara kienyeji, kijanjanja, kizamani na kimazoea sana pia, wakati mwingine wateja wanaokereka nao wanakosa uvumilivu.
Hii ni biashara gani? Ya Ice Cream ama pipi?Pole ni kawaida kwenye harakati za kutafuta wateja ni kama watoto waelewe hivyo hutosumbuka na ili umteka vyema usimjibu vibaya furahi ama cheka kuna kipindi yeye mwenyewe atajirudi na atakuwa mteja wako wa nguvu na rafiki.
Ahahahah. Tena ni uvumilivu wa kiwango cha sgr unahitajika 😂😂😂biashara ni uvumilivu mkuu
Kama hiyo biashara ni ya kwako, ajiri mtu wa kuhandle wateja! Customer relationships/Customer care/Customer support, n.k ni taaluma!
Kuna tabia moja ya hovyo sana hasa Kariakoo ya wafanyabiashara kuuza bidhaa moja kwa bei tofauti kwa wateja tofauti, wanakuangalia ulivyo wanakupachika bei wanayojisikia.
Hii sheria nahisi ina apply huku umatumbini tu kwa wabantu “coco.Ukijua Customer's care kamwe hauwezi kugombana na mteja hata aje amefura kama Mbogo.
-Ukijua kwamba Customer ni Boss wako na sheria number Uno inasema Boss hakosei(Boss is always right) -Boss hanuniwi utaenda nae vizuri tu hadi mwenyewe atakaa sawa.....Mteja akija amewaka na wewe ukamjibu vizuri kwa upole huku ukimsikiliza unadhani ataendelea kufura?