Prezdaa Shaco
Member
- Sep 3, 2013
- 46
- 8
NACTE mmetupa majibu bila ya uthibitisho chuoni (confirmation) sasa tuwaelewe vipi mana hatujui hatima yetu hadi Lini Mana Nimeenda chuo kuchukua Admission latter nimeambiwa hatukutambui jina lako halipo. Daah mwenye kujua zaidi kuhusu hili tupeane ushauri...!!
Kwa wale tuliochaguliwa UDSM bado siku 15 saasa kama chuo hawajatucormfirm inakuwaje wakuu?? Maana mda hakuna tena
Kama uliweza kusubiri kipindi kirefu cha matokeo mkuu unashindwa haka ka ng'we kalikobaki?!ni suala la kuomba mungu na muda tu,kila kitu kitakuwa sawa,wala hutakiwi kuwa na kihoro!
Totaly truth..Tatzo sio kusubiri mkuu bali ni nacte kwenda na tarehe ya chuo husika ..maana inaonesha wazi kuwa nacte..tcu ..heslb na vyuo mawasiliano yao hayapo fast kama inavyotakiwa ..kila mtu anafnya yake kwa mda wake mwenyew anapojiskia bila kujua kila mtu ana mda wake
Mmnh!! Huyo jamaaa alienda chuo Gan!?
kwan mmeambiwa chuo kikifunguliwa uspoenda cku hyo unadisco?