Ebwanaee tatzo ulilonalo ndilo linalo sumbua ktk profile nying wanasema weka index numb ilikuweza kuona umechaguliwa unapoweka unaambiwa incorrect password wanazingua sana sema kitu nilichofikiria nkuwa system bado haijawa tayar kwa ajili ya kutoa majibu labda tuuuu kama kuna ambae yeye alifungua ikakubali kufunguka ili aweze kuondoa hofu na shaka zinazowakumba wengi atuambie