PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 879
- 956
Gharama za kujikwamua kwenye kwenye lindi la umasikini lazima ziwe na malalamiko. malalamiko hayo mara nyingi hufanana. Kwa makundi ya wanaoleta haya malalamiko huwa ni ya watu wa aina ileile, tena huja na sababu zilezile.
Ukifuatilia kwa umakini, utatambua kwamba mfanano wa hawa watu ni mkubwa sana hadi utakubaliana na ule msemo wa kiingereza kwamba "History does not repeat itself, but people do repeat themselves".
Zilipokuwa zinakuja takwimu Kenya anaongoza kwa kuuza madini ya Tanzanite tulilalamika.
Mlima Kilimanjaro upo Kenya tulilalamika.
Hatuna ndege hata moja tulilalamika.
Mbona Rwanda anatangaza sana utalii tulilalamika.
Fanya uchunguzi wako
utaona haya..!
Raisi Samia Suluhu Hassan aliamua kwa dhati nchi yetu itangaze utalii wetu ili kuwezesha Tanzania kurudi kwenye biashara ya Utalii kutokana na janga la UVIKO19 utalii uliathirika sana lakini pia tulikuwa hatufanyi vizuri kwenye utalii wetu Licha ya kuwa na vivutio kibao.
Lengo kubwa ni kusaidia kiuchumi ukanda wa maeneo yanayotegemea Utalii kimandeleo, kwa kutoa ajira kwa vijana na kusukuma uchumi wa Utalii katika nchi.
Jirani yetu Rwanda amefanya Royal Tour haitoshi amewekeza kwenye klabu kubwa ulaya Arsenal na PSG yote hii ni kwa ajili ya Utalii. Pale Rwanda kuna Gorilla na sokwe.
Tanzania yenye mbuga kubwa 5, kisiwa cha Zanzibar. Historical sites kibao. Kimondo cha Mbozi na vivutio vingine kufanya Royal Tour mnataka kuleta kelele.
Rais ameona tukiendelea kufanya mchezo tutaachwa mbali sababu kila nchi ina vivutio vyake na namna ya kutangaza Utalii wake.
Sasa Dunia inajua
• Mlima kilimanjaro upo Tanzania.
• Tanzania ina vivutio vingi vya Utalii.
• Madini ya Tanzanite yanapatika Tanzania pekee
• Uzuri wa kisiwa cha Zanzibar