Mnatamani kuwa kama Rwanda, tukifanya mnalalamika

Unataka kuniambia hayo yote yalikuwa hayajulikani KABLA ya Royal tour!!?tusidanganyane!!
Kama wewe umetembea nje ya nchi hasa Marekani, Ulaya na Asia ukisema Tanzania, watu wanadhani Tasmania ambayo ipo Australia. Inabidi uongeze juhudi kwa kumtaja baba wa Taifa Mwl Nyerere, hapo watu wa makamo watakuelewa. Vijana ukisema TZ wanadhani ni karibu na Nigeria.

Jamani Tanzania anayejulikana ni Nyerere tuuu! Sasa hivi watalii wale wenye uwezo wameweza kutembelea Mlima Kilimanjaro ila ni kiduchu.
Asia ukiulizwa unatoka wapi wanategemea utasema Kenya, Nigeria, Rwanda, Ghana na nchi nyingine za W. Africa.
Tusijidanganye. Tumetembelea mabara yote, Tanzania ni wale wa rika la Seventy Seven tu wanaifahamu.
 
Inafaa Ukiwa serious once in your life. Wazungu wengi hawajui na wala hawataki kujua kinachoendelea nchi Kama zetu. Kenya walijitangaza sana kuhusu mlima Kilimanjaro. Na Ukweli kabisa unaongea na hawa wajerumani wanasema Mlima K upo Kenya na ndo hupanga safari hivyo.
Mkuu nilishapokea sn watalii kutoka nchi mbalimbali, Tanzania wanaijua sn sababu lazima pass za kusafiria zingongwe mpakani
 
Mkuu nilishapokea sn watalii kutoka nchi mbalimbali, Tanzania wanaijua sn sababu lazima pass za kusafiria zingongwe mpakani
Na hao hao uiowapokea ndio wanarudi kila mwaka, unawapokea tena?

Fikra kama zako ndiyo maana umeridhika na ulipo.

Wewe umpokee mtalii gani hata jina la Benjamin (Benyamin) limekushinda kuandika.
 
Kumbe kweli,wewe ni mmoja wa wachaga walio wapuuzi na wajinga haijwai tokea tangu nchi ipate uhuru.
1652305060539.png

A demonstration against rising fuel prices in Kolkata, India. There have been protests around the world against the increasing costs of basic commodities. Photograph: Piyal Adhikary/EPA

Soma zaidi: Inflation bites hardest in developing world as Ukraine war raises prices
 
Na hao hao uiowapokea ndio wanarudi kila mwaka, unawapokea tena?

Fikra kama zako ndiyo maana umeridhika na ulipo.

Wewe umpokee mtalii gani hata jina la Benjamin (Benyamin) limekushinda kuandika.
We ajuza utakuwa na tatizo la akili udini umekujaa, nani alikwambia jina lazima liwe Benjamin? bibi mzima unashindwa kulea wajuu na wewe unaota uteuzi labda wa kuwa kwenye kamati yenu ya ufundi
 
Gharama za kujikwamua kwenye kwenye lindi la umasikini lazima ziwe na malalamiko. malalamiko hayo mara nyingi hufanana. Kwa makundi ya wanaoleta haya malalamiko huwa ni ya watu wa aina ileile, tena huja na sababu zilezile.

Ukifuatilia kwa umakini, utatambua kwamba mfanano wa hawa watu ni mkubwa sana hadi utakubaliana na ule msemo wa kiingereza kwamba "History does not repeat itself, but people do repeat themselves".

Zilipokuwa zinakuja takwimu Kenya anaongoza kwa kuuza madini ya Tanzanite tulilalamika.
Mlima Kilimanjaro upo Kenya tulilalamika.
Hatuna ndege hata moja tulilalamika.
Mbona Rwanda anatangaza sana utalii tulilalamika.
Fanya uchunguzi wako
utaona haya..!

Raisi Samia Suluhu Hassan aliamua kwa dhati nchi yetu itangaze utalii wetu ili kuwezesha Tanzania kurudi kwenye biashara ya Utalii kutokana na janga la UVIKO19 utalii uliathirika sana lakini pia tulikuwa hatufanyi vizuri kwenye utalii wetu Licha ya kuwa na vivutio kibao.

Lengo kubwa ni kusaidia kiuchumi ukanda wa maeneo yanayotegemea Utalii kimandeleo, kwa kutoa ajira kwa vijana na kusukuma uchumi wa Utalii katika nchi.

Jirani yetu Rwanda amefanya Royal Tour haitoshi amewekeza kwenye klabu kubwa ulaya Arsenal na PSG yote hii ni kwa ajili ya Utalii. Pale Rwanda kuna Gorilla na sokwe.

Tanzania yenye mbuga kubwa 5, kisiwa cha Zanzibar. Historical sites kibao. Kimondo cha Mbozi na vivutio vingine kufanya Royal Tour mnataka kuleta kelele.

Rais ameona tukiendelea kufanya mchezo tutaachwa mbali sababu kila nchi ina vivutio vyake na namna ya kutangaza Utalii wake.

Sasa Dunia inajua
• Mlima kilimanjaro upo Tanzania.
• Tanzania ina vivutio vingi vya Utalii.
• Madini ya Tanzanite yanapatika Tanzania pekee
• Uzuri wa kisiwa cha Zanzibar
Tupo pamoja na mama,anaupiga mwngi achana na sukuma gang wanapiga kelele za debe tupu
 
Back
Top Bottom