Msuya Jr.
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 1,691
- 899
Katika harakati za kurudi kijijini Leo, ili kuachana na kucheza pool na kuzunguka back bahasha ya khaki, hili ndo nimelikuta kijijini huko kahe - anapotoka yule mwanadada wa kusambaza sijui ni skendo ama ni kweli, anayeishi kama sikosei Uk or USA, anaitwa Jina laanza na Mange,
Mwekezaji wa miwa ananyonya maji yote, na kuacha hekta Zaidi ya elfu
70 zikiteketea, halafu Ana grace period ya 30years
Angalia video na picha chini hapo, mkuu wa mkoa na wilaya wameshindwa kusuluhisha, Mbatia mwenyewe sijui yuko wapi??? Hizi mikataba iangaliwe upya, wakulima wananyanyasika Sana nchi hii, haswa wa jembe la mkono..