KABERWA2013
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 304
- 92
Wanawake wa KLM huwa wanabehave kama midume ndomana uligombana nae .hila hapa utakanusha kwamba hakuwa wa KLM ili uwatetee dada zako
Kama hilo ni lengo lako then start acting like a real gentleman...
Wanaume wanaotarajia kuoa huwa wanawashape wake zao watarajiwa na sio wanalalama na kuanza kukimbilia kuwatangaza...
Nimeandika kwa ufupi, hopefully utaelewa...
Wanawake wa KLM huwa wanabehave kama midume ndomana uligombana nae .hila hapa utakanusha kwamba hakuwa wa KLM ili uwatetee dada zako
Mpaka unaona anaanzisha Sred jua yametimia. Kwa hiyo uwanja ni wako tunasubiri pilau nasi tuponee hapo maana mwenzetu atakuwa anafaidi nini vile kAkikuzingua na huyo njoo kwangu Chagga King
Mpaka unaona anaanzisha Sred jua yametimia. Kwa hiyo uwanja ni wako tunasubiri pilau nasi tuponee hapo maana mwenzetu atakuwa anafaidi nini vile k
haha, haya subiri kidogo nione muelekeoila huyu mtakomaa naye mwanzo mwishoAkikuzingua na huyo njoo kwangu Chagga King
tunataka na mapungufu yako
Kumbe jamaa kasema ukweli kuwa nyie akinadada ukipendwa pendeka. Unaona hata wewe unaanza kuzingua! Jimwage na sie tupate mnuso wa haja. Huyu jamaa anatafuta wife material kama wewe. Jaribu uone == mtama kwa watotoHahahaa mkuu acha uchochezi bado hajamzingua
Wanawake wa KLM huwa wanabehave kama midume ndomana uligombana nae .hila hapa utakanusha kwamba hakuwa wa KLM ili uwatetee dada zako
yereuwii nilivyolegea mimi aisee....... !@chagga king come to miss chagga😛eep:
haha, haya subiri kidogo nione muelekeoila huyu mtakomaa naye mwanzo mwisho
Hawa wanaume wa karne hii mbona mambo!!!
Aliyeimaliza hi story anisimlie,maana ni ndefu ajabu! Mtoa mada lile swali la ufahamu la kufupisha habari shule ya msingi hukusoma wew?
Mke mwenza vipi mbona kila mahali tunafuatana???
Kwa nini ukomae na mtu ambae hana mwelekeo wakati watu tupo hapa tunasubiri useme suu tuchangamke
mae naona kaongelea kipengele cha kuhongwa vitu vyote duniani embu atokee mmoja nimwojeshe mahaba aniongeee aiseee
Chagga King mimi nipo tayari kuwa mchepuko naomba utanihonga dunia
Akikuzingua na huyo njoo kwangu Chagga King