Habari wadau, naomba ushauri. Ni njia gani nzuri na practical ya kupata wateja wa kutengeneza websites?
Nimejaribu kuwa-approach watu moja kwa moja, lakini nimeona changamoto kubwa ni pale ninapotaja bei—nahisi kama bei zangu zinaonekana kuwa kubwa.
Mbali na kutengeneza websites, pia nafanya:
Deployment ya web apps
Server hardening na basic server security
VPS setup na management
Tech stack yangu ni:
Laravel
Inertia.js
Next.js
MySQL
Ubuntu VPS
Docker
Kwa wale wenye experience kwenye freelancing au web development business, mnashauri nitafute clients kupitia njia gani, na nifanye nini ili kuuza huduma hizi bila kushusha bei sana?
Tengeneza Tangazo Lipia Add uitangaze Instagram na Facebook utapata potential customers japo Carrier yenu iko matatani AI inafanya sana kazi zenu kama soko la Logo naona limeisha kabisa
Tengeneza Tangazo Lipia Add uitangaze Instagram na Facebook utapata potential customers japo Carrier yenu iko matatani AI inafanya sana kazi zenu kama soko la Logo naona limeisha kabisa
Yeah unaweka prompt tuu inakuja
Unaweka website ya nini unajaza namba yako Email address kama una website unaweka Rangi unataka iwe na rangi gani utaziweka hapo Easy tuu