Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.Nipe exact quote mkuu
amen!!watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
hosea 4 : 6
Sijaroga mtu siku nyingi sana !sema upo wapi nipe ,jina lako na la mama yako ,nywele au sehemu yeyote ya nguo yako ,au sehemu uliyo kanyaga ! nina silaha mpya toleo la 2015!nataka nijaribie kwako inaelekea mweupe wewe kila upande(kiroho na kishirikina)!
Kuibariki nyumba ni rahisi kama kubariki chakula lakini sana hata hao wachawi hawafuati nyumba bali waliomo ndani
yake hivyo hakikisha kwamba wewe mwenyewe KRISTO YESU anaishi ndani mwako otherwise ni kutwanga maji kwenye kinu tu.
Kiongozi wa dini ataweka nini kuzuia hao wachawi....
mimi hapa niroge sasa!
Naomba ukawaone viongozi wa dini yako watakuelewesha!
Nipe basi ingredient nilizoomba nikufanyie majarbio!mimi hapa niroge sasa!