KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,291
"Watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa"Nilikua nasikia kuwa wanaojenga nyumba mara nyingi huwa wanazizindika, sijui kuchimbia madude gani ili mchawi ashindwe kuroga.
Mi yangu inakaribia kwisha kwisha kabisa na sijawahi kufanya huo upuuzi na sijafa, hii inakuaje!
Nilikua nasikia kuwa wanaojenga nyumba mara nyingi huwa wanazizindika, sijui kuchimbia madude gani ili mchawi ashindwe kuroga.

Pole kwa kuwa na imani haba. Uchawi upo kwa wakristu hata biblia imesema. Sijui wasislamu wanasemaje. Njia nzuri ya kuzindika nyumba kama wewe ni mkristu ni kuiwekea wakfu kama alivyosema mjumbe mmoja hapo juu. Kwa wakatoliki imara. Ibariki nyumba yako kwa kununyizia maji ya Baraka. Yale maji ni kinga kubwa kwa kuwa yamechanganywa na chumvi. Hata aje mshenzi kutoka uarabuni akifika kwako ataishia kupiga story na kuondoka.
Mwite mchungaji kabla ya kuhamia uiweke wakfu
Achana na mazindiko hayana faida yoyote..
Nilikua nasikia kuwa wanaojenga nyumba mara nyingi huwa wanazizindika, sijui kuchimbia madude gani ili mchawi ashindwe kuroga.
Mi yangu inakaribia kwisha kwisha kabisa na sijawahi kufanya huo upuuzi na sijafa, hii inakuaje!
Mkuu ila si bado hujahamia, hamia halafu ulete mrejesho.Nilikua nasikia kuwa wanaojenga nyumba mara nyingi huwa wanazizindika, sijui kuchimbia madude gani ili mchawi ashindwe kuroga.
Mi yangu inakaribia kwisha kwisha kabisa na sijawahi kufanya huo upuuzi na sijafa, hii inakuaje!
Inategemea unaishi wapi! Nilisafiri siku moja na mfanyabiashara ya madini kutoka Arusha, nilipomdadisi kuhusu mauaji ya mara kwa mara huko Arusha, akanieleza kuwa ni kutokana na visasi katika biashara. Akazidi kunifahamisha kuwa visasi ni vingi Dar kuliko Arusha ila kwa Dar ukiwa na kisasi na mtu unamwendea kwa mganga lakini Arusha anakutwanga risasi.Mbona hatamimi sijazindika nyumbayangu mpaka leo naishi vizuri ukimwamini mungu uchawi hauna nafasi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums