comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,449
- 11,505
System yao imekua mbovu sana week hii, na hata ulinzi wa pesa zenu mnaoweka huko ni mdogo sana!
Tokea jana mtu unaweza kuangalia salio la halopesa bila hata kuweka PIN, yani unaangalia tu kama salio la kifurushi meseji ya kiasi kilichopo kinatumwa kwa sms.