Seif Kazige Mbambizi
Senior Member
- May 7, 2016
- 135
- 92
WEN
Wenye chamaHivi idara ya propaganda ya CCM baada ya mzee Kigunge Ngambare Mwilu na akina Richard Tambwe Hizza kuondoka na kuwaachia wenye chama siku inaongozwa na nani?
Mbona nako kama vile kumekufa, hakuna vetting inayofanyika. Wanaingiza maboya. Huyu naye kaandika kitu hapa.
Kama na wewe uko huko, basi CCM ni majanga.....is finished!