Mnaotumia matikiti mnalijua hili?

Mnaotumia matikiti mnalijua hili?

Dawa ya kuongeza mwendo kasi kwa wababa dhidi ya wamama....under 18 dont try this at home!!
 
Yale matunda aliyochanganya ni matunda gani? Hachana na ndimu
 
Sasa hayo matunda alochanganya na tikiti ni matunda gani?, ukiacha ndimu
hapa ukichanganya ndimu limao na tikiti unapata booster ya mwendokasi, ukiongezea na ukwaju unapata charger ya kobe, cha ajabu unakuta mtoto wa miaka miwili anachochewa uji wa limao then juice ya ukwaju halafu tikiti tayari booster lazima iende hewani.
 
Back
Top Bottom