mujemaso
Senior Member
- Apr 26, 2012
- 112
- 44
Habari zenu wadau.
Napenda kuwafahamisha wale ambao wanatumia iOS kuwa kuna application inaitwa: "App of the Day" uki - install huwa inakupa taarifa za paid apps ambazo ni free kwa siku hiyo. Kila siku Kunakuwa na paid app ya bure mfano leo Runtastic pro (kwa wale wanaopenda mazoezi mbalimbali) iko free kwa saa 24. Mimi nishaokoa zaidi ya $50 kwa kutumia app hii.
Samahani kama nimerudia information ambayo tayari inafahamika, nimeona itakuwa vizuri kushare na wale ambao hawajui.