MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
One of the tragedies of the Kikwete administration is that we went back to business as usual!
One of the tragedies of the Magufuli administration is the end of business as usual and the beginning of a new era of relevance, improve public services, cracking down on corruption and wasteful spending.
Kwa muda mrefu vitabu vya CAG vilikuwa kama moja ya utaratibu tu katika kutimiza takwa la open government initiative ili kuonyesha kwa watanzania na wafadhili kama kuna some sort of good governance in Tanzania. Repoti za CAG zilikuwa hazina thamani ndani ya serikali.
Repoti ya CAG ilikuwa inawekwa kwenye store au dustbin baada ya kukabidhiwa kwa Rais kama takwa la Katiba na sheria linavyosema kwa mujibu wa Ibara ya 143 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (iliyorekebishwa 2005) na Kifungu cha 34 (1)(c) cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na.11 ya mwaka 2008.
Now, Tanzania have soft-spoken guy goes by the nickname Bulldozer. Kazi anayoifanya na timu yake kwa sasa ni kupitia mapendekezo ya repoti ya CAG na kutumbua majipu.
Kama wewe umeguswa na repoti ya CAG inayohusu taarifa za fedha za serikali kuu, mashirika ya umma na Serikali za Mitaa za mwaka ulioishia tarehe 30 Juni 2014 na ukaguzi wa mwaka 2014/2015 inabidi uanze kujiandaa kutumbuliwa. Hakuna jinsi, utatumbuliwa tu.
Wakati akiongea na wazee wa Dar es Salaam, Rais Magufuli alinukuwa akisema’’ Ninawaomba wazee wangu katika kipindi hiki, na sisi tunakiita kama kipindi cha mpito, mtuvumilie, kama ni majipu tutayambua kweli kweli. Likiota hapa, tutalitumbua, likihamia huku tutalitumbua likienda kichwani tutalitumbua, likienda mgongoni tutalitumbua, likienda kifuani tutalitumbua ili majipu yote yaweze kuisha na Tanzania iende mbele’’.
He who requires what is under the bed must bend for it and you reap what you sow!