Red shadow JF-Expert Member Joined Apr 11, 2024 Posts 1,411 Reaction score 1,990 Feb 16, 2025 #1 Watekinologist Mnaendaje nayo hiii Naona advertisement kwamba watu wanatumia CHATGPT kutengeneza had 100$ kwa siku mnafanyaje
Watekinologist Mnaendaje nayo hiii Naona advertisement kwamba watu wanatumia CHATGPT kutengeneza had 100$ kwa siku mnafanyaje
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 21,748 Reaction score 46,675 Feb 16, 2025 #2 As long as hakuna pesa unayotoa ili upate ni salama.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,957 Reaction score 194,014 Feb 16, 2025 #3 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
miviga JF-Expert Member Joined Jan 27, 2024 Posts 2,362 Reaction score 8,494 Feb 16, 2025 #4 Hiyo umeona nje au hapa Tz? Wabongo hawtangazagi fursa, yawezakua hapo wanatafuta malighafi binadamu
Red shadow JF-Expert Member Joined Apr 11, 2024 Posts 1,411 Reaction score 1,990 Feb 16, 2025 Thread starter #5 naona wwtu wa nje ndo wanatangaza sana!! miviga said: Hiyo umeona nje au hapa Tz? Wabongo hawtangazagi fursa, yawezakua hapo wanatafuta malighafi binadamu Click to expand... sasa wabongo nawajua ni wachoyo huwa wanakula kimya kimya
naona wwtu wa nje ndo wanatangaza sana!! miviga said: Hiyo umeona nje au hapa Tz? Wabongo hawtangazagi fursa, yawezakua hapo wanatafuta malighafi binadamu Click to expand... sasa wabongo nawajua ni wachoyo huwa wanakula kimya kimya