Wadau kwa mujibu wa ujumbe alioutoa bhana venance shitindi tusipofatilia swala hili linakula kwetu hapa chamsingi ni kuifkishia serikali malalamiko kwann wasitekeleze agizo la raisi wakati wa kampeni ?.
Unaambiwa hta boom znaendaktilewa kwa %
Ko ukpata mkpo % labda 50 boom pia itapgwa kwa % 50 na hta pesa za field hvyo hvyo!.