Mnaotaka kuuvunja Muungano mtauvunjaje?

Mnaotaka kuuvunja Muungano mtauvunjaje?

Nyerere's words.
The only way ya kuvunja muungano ni kuunda Shirikisho la kisiasa la Afrika mashariki

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazijua kanuni wewe? Unalijua shirikisho au hata miundo mingine ya kiserikali kisheria na kiutaratibu? Shirikisho la East Africa, litaundwa na nchi za ukanda huo, sa sijui na Zanzibar ni nchi kwa fikra zenu na sheria za kwenu.

Hata kuundwa kwa Shirikisho la Tanzania, kama mliitavyo serikali tatu, halitawezekana hadi pale zitakaporudi nchi mbili za awali kwanza, na uhuru wake, then kura za maoni zipigwe tuamue pande zote kuunda serikali ya shirikisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muungano huu siyo makubaliano ya wananchi ila makubaliano ya viongozi hivyo hakuna written contract n.a. ccm inavyozidi kukaa kimya zidi ya hoja za wazanzibari ndivyo wanavyozodi kucomplicate hili jambo hatimaye vurugu itakayo sababisha kukosekana mwongozo wa kuvunja ndoa you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watauvunja kwa kubadilisha katiba ya tanzania na kulinganisha na katiba ya zanzibar ni nchi. Yamkini ndani ya muungano tunafaidi mambo mengi zaidi nje wale ndugu zangu hawatokuwa na sauti sababu dunia inatwaliwa na mmagharibi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umoja ni nguvu.

mie naona muungano ubakie, ila changamoto za muungano zitatuliwe. maana zipo changamoto nyingi sana.

zanzibar uchumi wake ni mbovu sana sasa hivi, muungano ukivunjika visiwa vitaingia kwenye economic depression. ardhi ya zanzibar ni ndogo sana, actually ardhi ya zanzibar ni 0.25% ya ardhi Tanganyika. from economical point of view, wazanzibari wanauhitaji huu muungano zaidi kuliko wanavyodhani.
Zanzibar ndiyo wanaotaka uvunjike na wakiongozwa na viongozi wa uamsho kufanya mihadhara zaidi ya 100 unguja na Pemba kuwahamasisha wazanzibar kuvunja Muungano.
 
umoja ni nguvu.

mie naona muungano ubakie, ila changamoto za muungano zitatuliwe. maana zipo changamoto nyingi sana.

zanzibar uchumi wake ni mbovu sana sasa hivi, muungano ukivunjika visiwa vitaingia kwenye economic depression. ardhi ya zanzibar ni ndogo sana, actually ardhi ya zanzibar ni 0.25% ya ardhi Tanganyika. from economical point of view, wazanzibari wanauhitaji huu muungano zaidi kuliko wanavyodhani.
Na visiwa vinne vya Japan mbona vidogo kupita Tanzania lakini ni tatu kiuchumi duniani?
 
Kura ya maoni tu , 90% kwa 10%
Muungano havunjwi,it is impossible,uvunjwe ili iweje?
Unaweza kuitenga Mtwara na Jamhuri ya TZ?
Suala LA Zenj na TZ bara,ni zaidi ya matakwa ya wananchi waishio ktk sehemu hizo mbili,sio suala LA kupiga kura ya maoni,tumeishatoka huko,this Union is here to stay,it is not going anywhere,by the time we realise this the better,
Tuanze kufikiria viwanda,tekinolojia,Zenji iwe kama Hongkong au japani,
Msituaminishe kwamba Zenji haiwezi kuendelea,katika nyanja za kilimo,viwanda,tekinolojia kwa sababu tu IPO ndani ya muungano,kwani mmezuiwa kufikiri,kukusanya mapato,kuvutia wawekezaji?acheni porojo,mi nitakuwa wa kwanza kumtwanga yeyote anayeleta hizi chokochoko,richa ya kwamba sijawahi kufika Zenji,hili ni suala LA heshima ya nchi yetu duniani,
USA,ni muungano wa States 52,muungano huo ulikuja kwa vita,sio hiari,nenda kawaambie wamarekani kwamba Detroit ijitenge na USA,huone utakachofsnywa,watu imeishawaingia akilini,
Sasa nyie wabongo vipi?Zenj aiendi kokote,hata watu wajifarague vipi,hili suala LA Zenj kuwepo ndani ya Muungano,ni kubwa,kuliko MTU yeyote,sio suala LA kura ya maoni,au matakwa ya wanasiasa mufilisi,walioshindwa kuja na maono ya kuendeleza Wazenj,sasa wanakuja na visingizio,kibao,mara koti limetubana,Mara mashekh wetu wanateswa bara,
 
Huwa siliewi kabisa hili tukio wanaloliota hawa watu, sijui ni fikra gani zinazowafanya wafikiri kwa kiwango cha chini kwa kiasi hicho. Achilia mbali swala la kihistoria, nchi zikitengana mgongano wa kimaslahi huwa hauwaachi salama, hii ni kanuni, ila mi pia huwa nawadha, kwanini hiyo nafasi wanayoifikiria kuwa kama Dubai isiwe Tanga, Mtwara ama Bagamoyo pia? Au wanadhani, Dubai iko ilivyo kwakuwa tu ni kisiwa? Fikra finyu sana hizi.

Ukweli ni kwamba, tukitengana tunatengana kiukweli ukweli, Malawi anaweza akawa ni mwenye maslahi kwetu kuipita hata Zanzibar, na chochote kitakachofikiriwa na Zanzibar, kitafikiriwa pia kwa Tanganyika kupitia fursa zake za kiuchumi, siasa, diplomasia nk, hawa watu sijui vyakula vya bahari huwapunguzia uwezo wa kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
mzee wewe ni muongo bila ya muungano hakuna ccm na bila ya ccm kanisa halina tena nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Allen Kilewella, post: 22785358, member: 55849"]Ndani ya Muugano wa Tangayika na Zanzibar kuna mawazo ya watu wenye kuuboresha, kuuacha kama ulivyo, kuubadili na pia kuna hoja pia ya kuuvunja Muungano wenyewe.
Mkuu Allen, wazo la kuboresha ni mfu.Miaka 50 hawakuweza it's unlikely wataweza
Kuuacha ulivyo haiwezekani. Muungano ulijengwa kwa mazingira ya wakati huo si huu
Sababu kubwa ilikuwa ya kiusalama ambayo leo haina mashiko kwa mabadiliko ya dunia

Kubadili, hili ndilo wazo viable kutokana na muda na mwingiliano wa kijamii
Kuuvunja, nalo ni wazo viable kutokana na kutoridhika kwa pande zote
Tanganyika ikiwa imechoka kubeba mzigo na lawama, ZNZ wakiahidiwa 'pepo'
wazanzibar wakiwa na harakati za kutaka kuuvunja Muungano, na kuna watanganyika wanasema "acha wazanzibar" waende.
Sababu ni nilizoeleza juu. Watanganyika kusema waache waende ni dalili nzuri ya kuchoka
kama ikitokea wananchi wakaunga mkono kwa Zanzibar kujitenga ni mfumo gani utatumika ili nchi zibaki salama baada ya kuvunjika?
Sijui ni kubaki salama kwa maana gani. Tanganyika imezungukwa na majirani 8 na ZNZ itakuwa ya 9. Ni kipi tofauti kiusalama?
Jee kuna wazo ni kwa jinsi gani waliowekeza Zanzibar/Tanganyika mali zao zitafanywa
Ukweli, jinsi gani waliowekeza Tanganyika mali zao zitafanywa. Kwa ZNZ, Watanganyika wanakuwa treated vibaya. Sheria zinazotungwa zinalenga Watanganyika.Watanganyika hawana cha ku loose ukiachilia mbali ni wangapi

Wazanzibar waliowekeza bara watakuwa kama Wakenya, Waganda, Warundi, Wahind
Watafuata taratibu za uwekezaji. Kwa Watanganyika ZNZ kuna sheria za kufuata
Waliozaliwa kwenye nchi hizo wakati wa Muungano watafanywaje kama watataka kubakia upande waliozaliwa ingawa si wa "asili" wa upande huo?
Waliozaliwa husubiriwa miaka 18 wataamua wapi waelekee
Kuna wageni waliozaliwa Tanganyika wanapewa fursa wakiwa na miaka 18 kuamua
Rasimu ya Warioba ilitoa 2018 kuamua ili wajue uzazi utakuwaje
Walioajiriwa kwenye Muungano watalazimika kurudi kwenye "Nchi zao" ama kubaki upande waupendao
Definite watarudi katika nchi zao.

Ni sawa tu na mabalozi wa nchi za nje, uhusiano na nchi husika ulivunjika Mabalozi wanarejea makwao. Hawa ni watumishi na utumishi haujawa haki ya Uraia

Hakuna tatizo kwa Tanganyika. Hadi sasa wanabaguliwa kwa vitambulisho vya Uzanzibar. Wazanzibar walioko muungano, sehemu kubwa ni favor

Mzanzibar wizara ya elimu, afya , kilimo, mawasiliano na uchukuzi, ujenzi n.k. wanapewa fadhila. Kuondoka si kuonewa. Hakuna tatizo mfumo uliopo ZNZ tayari ina utaratibu
Ni Tanganyika kuweka utaratibu wake
Mifumo ya elimu iliyopo bado itatambulika sehehmu zote za Muungano ama utambuzi utaanza upya?
Kuna baraza la mitihani la muungano ambalo halitambukili Zanzibar

Zanzibar wana baraza lao la mitihani, wana vyuo vyao na taasisi zao

Tanganyika itabaki na mfumo wake. Ni wajibu wa serikali husika kukubali au kukataa mfumo wa elimu wa upande wa pili.Kuna HESLB na ZHESL.

HESLB ni ya Tanganyika ingawa ZNZ wananufaika kwasababu ni jambo zuri kwao. ZHESLB ni ya Wazanzibar tu Mtanganyika hana nafasi.

Muungano ukivunjika, tutabaki na HESLB na ZHESLB, tatizo li wapi?
Ni vema wanaotaka Muungano uvunjike wakasema watatumia mbinu gani kuuvunja Muungano kwa faida za watu wa pande zote mbili za Muungano.
Huwezi kuvunja muungano bila consequences. Ndivyo ilivyo duniani

Sijui ni faida ipi tena watu wa nchi hizo wanazitaka ikiwa wamekataa faidaza muungano. Kukataa muungano ni kuwa tayari na matokeo

Unawezaje kuvunja ndoa ukabaki beneficiary wa ndoa hiyo?

Kwa structure ya muungano ulivyo, kuvunja ni jambo rahisi kuliko kuuweka hai
Zanzibar tayari wanavyombo vyao , sheria zao na taratibu zao
Tanganyika nayo ina vyombo vyake, sheria zake na taratibu zake

Kisichoonkena ni kuwa Tanganyika imebeba muungano, kuondoka kwa Zanzibar hakuathiri mfumo uliopo sasa. Hakuna kitu kitakachobadilika kwasababu Zanzibar haipo

Walioweka muungano hai kwa rasilimali ni Watanganyika, wakikataa rasilimali zisitumike katika muungano ni kifo 'sudden death ya muungano'

Walioweka muungano hai kwa hali ni Wazanzibar, wakiondoka kurejea, wakikata bunge, wakimwita makamu wa Rais, wakiondoa katika taasisi za muungano na zisizo za muungano, muungano unafikia mwisho

Ukisoma makala za Wazanzibar, lawama zao ni kwa Tanganyika.
Ni upuuzi na ukosefu wa elimu. Wazanzibar ni tatizo lakini hawakubali kuwa ni tatizo

Aliyevuruga rasimu ya Warioba ni Wazanzibar. Wangesimama pamoja isingetokea ilivyo
Wazanzibar wakaungana na CCM kuhujumu serikali 3 .

Leo wanapiga kelele. Wzn Wamegawanyika,wanaoona faida za muungano na wasioona

Hata wasiotaka muungano bado wanautaka kwa njia nyingine.
Naku challenge unipe kiongozi mmoja wa siasa aliyesema hataki muungano kabisa.

Tatizo lao ni kudhani wana haki ya kuamua ni aina gani ya muungano.

Ndilo linawakera Watanganyika na kusema hewala mkitaka ondokeni
 
Acha wapige kura ya maoni wana haki yao kufanya hivyo!! Watayumba miaka kadhaa lakini watakaa sawa.....hayo mengine yataji set yenyewe ninavyoona wakibakia wenyewe wapemba Wataanza kuwasumbua na kutaka nao watoke.....wakitoka watatak kurudi kuungana na Bara.....ili uchumi wao usonge....kilimo na biashara zao zisonge....unguja watajuta!!! Watahaha sana labda wamwite sultan....awasaidie kuinua uchumi!!!
 
Muungano havunjwi,it is impossible,uvunjwe ili iweje?
Unaweza kuitenga Mtwara na Jamhuri ya TZ?
Suala LA Zenj na TZ bara,ni zaidi ya matakwa ya wananchi waishio ktk sehemu hizo mbili,sio suala LA kupiga kura ya maoni,tumeishatoka huko,this Union is here to stay,it is not going anywhere,by the time we realise this the better,
Tuanze kufikiria viwanda,tekinolojia,Zenji iwe kama Hongkong au japani,
Msituaminishe kwamba Zenji haiwezi kuendelea,katika nyanja za kilimo,viwanda,tekinolojia kwa sababu tu IPO ndani ya muungano,kwani mmezuiwa kufikiri,kukusanya mapato,kuvutia wawekezaji?acheni porojo,mi nitakuwa wa kwanza kumtwanga yeyote anayeleta hizi chokochoko,richa ya kwamba sijawahi kufika Zenji,hili ni suala LA heshima ya nchi yetu duniani,
USA,ni muungano wa States 52,muungano huo ulikuja kwa vita,sio hiari,nenda kawaambie wamarekani kwamba Detroit ijitenge na USA,huone utakachofsnywa,watu imeishawaingia akilini,
Sasa nyie wabongo vipi?Zenj aiendi kokote,hata watu wajifarague vipi,hili suala LA Zenj kuwepo ndani ya Muungano,ni kubwa,kuliko MTU yeyote,sio suala LA kura ya maoni,au matakwa ya wanasiasa mufilisi,walioshindwa kuja na maono ya kuendeleza Wazenj,sasa wanakuja na visingizio,kibao,mara koti limetubana,Mara mashekh wetu wanateswa bara,
Kinachoonekana ni kuwa waTanganyika tunaulazimisha muungano kuliko wenzetu wa Zanzibar wanavyouhitaji. Muungano ni muhimu lakini kwa ridhaa ya pande zote, siyo hii ya shurti!!

Ukumbuke makubaliano ya muungano ulikuwa wa viongozi zaidi (Nyerere & Karume) na haukuhusisha wananchi wenyewe. Sasa kizazi cha sasa kinapohoji si dhambi na bado muungano unawezekana kwa kupata ridhaa ya wananchi wenyewe kwa kura ya maoni.

Cairo's
 
itageuka na kuwa kama Malasia ama Dubai
Na ujinga wote ule, kwani wanashindwa nini kuifanya kuwa kama Dubai leo?
 
Wazijua kanuni wewe? Unalijua shirikisho au hata miundo mingine ya kiserikali kisheria na kiutaratibu? Shirikisho la East Africa, litaundwa na nchi za ukanda huo, sa sijui na Zanzibar ni nchi kwa fikra zenu na sheria za kwenu.

Hata kuundwa kwa Shirikisho la Tanzania, kama mliitavyo serikali tatu, halitawezekana hadi pale zitakaporudi nchi mbili za awali kwanza, na uhuru wake, then kura za maoni zipigwe tuamue pande zote kuunda serikali ya shirikisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yalikuwa mawazo ya mwalimu nyerere sio ya kwangu.
Muundo wa sasa wa muungano hauwezi kusurvive endapo litaundwa Shirikisho la kisiasa la Afrika Mashariki: huwezi kuwa na shirikisho ndani ya shirikisho. Muungano utavunjika wenyewe tu. Yale masuala ya muungano sasa yatakuwa yanashughulikiwa na serikali ya Shirikisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna haja ya kuumiza kichwa angalia nchi nyingine zilifanyaje. Mifano iko mingi tu kama serbia na montenegro, czech na slovakia, irend republic kutoka UK, kosovo kutoka serbia, eritrea kutoka ethiopia na sehemu nyingine kibao. Ni muda mrefu sijaona nchi zikiungana bali chi zikitengana ili kila mmoja aangalie maslahi yake. Uwoga wa watanzania ni tatizo kubwa.
 
Naomba kuuliza, hivi Rais wa Zanzibar naye ana kinga ya kutoshitakiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani?
 
Mtoto akililia wembe, Acha wauvunje, cha kwanza Tanesco inabidi tu ifanye maneno mawili "KA" halafu "TA"
Hivi hujasikia Zanzibar inampango wa kuleta nishati ya Umeme....Acha Tanesco wakate umeme wao,,,umewasikia wazanzibari wanavyosema,vitisho haviwatishi tena,wanataka kula urojo kwa raha mustarehe bila kero katika nchi yao..
 
Muungano havunjwi,it is impossible,uvunjwe ili iweje?
Unaweza kuitenga Mtwara na Jamhuri ya TZ?
Suala LA Zenj na TZ bara,ni zaidi ya matakwa ya wananchi waishio ktk sehemu hizo mbili,sio suala LA kupiga kura ya maoni,tumeishatoka huko,this Union is here to stay,it is not going anywhere,by the time we realise this the better,
Tuanze kufikiria viwanda,tekinolojia,Zenji iwe kama Hongkong au japani,
Msituaminishe kwamba Zenji haiwezi kuendelea,katika nyanja za kilimo,viwanda,tekinolojia kwa sababu tu IPO ndani ya muungano,kwani mmezuiwa kufikiri,kukusanya mapato,kuvutia wawekezaji?acheni porojo,mi nitakuwa wa kwanza kumtwanga yeyote anayeleta hizi chokochoko,richa ya kwamba sijawahi kufika Zenji,hili ni suala LA heshima ya nchi yetu duniani,
USA,ni muungano wa States 52,muungano huo ulikuja kwa vita,sio hiari,nenda kawaambie wamarekani kwamba Detroit ijitenge na USA,huone utakachofsnywa,watu imeishawaingia akilini,
Sasa nyie wabongo vipi?Zenj aiendi kokote,hata watu wajifarague vipi,hili suala LA Zenj kuwepo ndani ya Muungano,ni kubwa,kuliko MTU yeyote,sio suala LA kura ya maoni,au matakwa ya wanasiasa mufilisi,walioshindwa kuja na maono ya kuendeleza Wazenj,sasa wanakuja na visingizio,kibao,mara koti limetubana,Mara mashekh wetu wanateswa bara,
Kitendo cha Tanganyika kuitawala Zanzibar kwa mtutu wa bunduki na vifaru ndio muungano wa kujivunia huo ?

Mkuu muogope sana Mungu wako , Wazanzibar walichagua Rais wao Maalim Seif , Tanganyika ikaitisha uchaguzi wa marudio ambao waliojitokeza ni 57,850 tu ! Lakini mshindi akatangazwa eti kapata kura 299,000 ! Kuna muungano hapa ?
 
Hayo yalikuwa mawazo ya mwalimu nyerere sio ya kwangu.
Muundo wa sasa wa muungano hauwezi kusurvive endapo litaundwa Shirikisho la kisiasa la Afrika Mashariki: huwezi kuwa na shirikisho ndani ya shirikisho. Muungano utavunjika wenyewe tu. Yale masuala ya muungano sasa yatakuwa yanashughulikiwa na serikali ya Shirikisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania kwa sasa si serikali ya shirikisho, ni serikali ya muungano. Ili tuliunde shirikisho, lazima huu muungano uvunjwe, nchi mbili huru ndizo zitakazoamua kuundwa kwa hilo shirikisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom