GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,738
- 109,172
Kwangu Mimi GENTAMYCINE hawa Wafuatao ndiyo nawaona 'Mawakili' mahiri kabisa wa Kujitegemea nchini Tanzania na hawashindwi ng'o Kesi yoyote ile...
1. Fatma Karume
2. Peter Kibatala
3. Tundu Lissu
4. Jebra Kambole
5. Bernard Morrison ( aliyekuwa Mchezaji wa Sokwe Mbwa Nyani FC na sasa kahamia kwa Simba SC )
Na Mimi pia natamani kuwa Mwanasheria ( Wakili ) Nguli kama hawa Watajwa hapa juu.
Hao wote kwangu hawana nafasi ya utetezi juu yangu.
wakili wangu pekee ni Mungu tu.
Mnabaguana wenyewe kwa wenyewe kwasababu ya vitu vidogo mnafikia hatua had ya kuitana nyani sokwe mbwa, alaf mkiskia mtu mwrusi kabaguliwa huko majuu mnakasirika
Juzi nimemuona Jebra Kambole kaongeza degree nyingine!!! Mataga mpo?
Mimi ni shabik wa simba niliwahi had kupigana na mwanafunzi mwenzangu kisa ushabik, ila biashara za kibaguz acha , unacho kiandika kinaweza kutafsir level ya upumbavu ulionaoMkuu kwani na Wewe pia kumbe ni Sokwe Mbwa Nyani SC Fan? Mbona 'Mapovu' hivi? Bernard Morrison aliyehamia Simba SC 'anakusalimia' sana Mkuu anasema kama vipi mkutane tena huko CAS ( FIFA ) ili 'akawanyooshe' tena vizuri ili 'mkome' kabisa.
Mimi ni shabik wa simba niliwahi had kupigana na mwanafunzi mwenzangu kisa ushabik, ila biashara za kibaguz acha , unacho kiandika kinaweza kutafsir level ya upumbavu ulionao
Mashabiki wa simba tunaheshimu utu wa watu, ila kwakua na wapumbavu mpo pia mm Sina namna ya kukubabilishaNa bahati mbaya ni kwamba wanasimba tunajuana wenyewe na kamwe hatuna mwanasimba 'Mpumbavu Mwandamizi' kama Wewe. Acha 'Kuzuga' najua hizi 'Hasira' zote ni baada ya jana 'Kuangushwa' Kisheria na Wakili Msomi kutoka nchini Ghana Bernard Morrison ambaye sasa ni Mali halisi ya Simba Sports Club. Na kasema hata huko CAS mnakoenda bado tena ataenda na 'Kujiwakilisha' mwenyewe na bado 'atawaangusha' tu na mtarejea Tanzania vichwa chini. Mnadhani Wanasheria wa huko CAS ( FIFA ) mnakotaka kwenda ni 'Wapumbavu Wapumbavu' na 'Waswahili Waswahili' kama hawa mliowazoea hapa ambao Kutwa walishazoea 'Kuwabebeni' Sokwe Mbwa Nyani SC?
Mashabiki wa simba tunaheshimu utu wa watu, ila kwakua na wapumbavu mpo pia mm Sina namna ya kukubabilisha
Unaweza ukawa maarufu na usiwe nguli au mahiri hao wote uliwasema ukienda kwenye viunga vya mahakama utaambiwa wanapigwa tu Sana sema ni kwa sababu ni. Public figure ndio maana umewajua lkn pia kesi nyingi zinawapa umaarufu hasa ni climinal case zinavuta public interest lakini kwenye medali za sheria hao wanabuluzwa tu endelea kufanya research utajua kunatofauti kubwa kati ya umahiri na unguli na umaarufu ukienda pale posta Dar au masaki ,utakuta firm na mawakili utajuaKwangu Mimi GENTAMYCINE hawa Wafuatao ndiyo nawaona 'Mawakili' mahiri kabisa wa Kujitegemea nchini Tanzania na hawashindwi ng'o Kesi yoyote ile...
1. Fatma Karume
2. Peter Kibatala
3. Tundu Lissu
4. Jebra Kambole
5. Bernard Morrison ( aliyekuwa Mchezaji wa Sokwe Mbwa Nyani FC na sasa kahamia kwa Simba SC )
Na Mimi pia natamani kuwa Mwanasheria ( Wakili ) Nguli kama hawa Watajwa hapa juu.