Mnaotafuta wapenzi JF, kwanini mnakuja na ID mpya?

ukumbuke wanawake wa mtaani,sokoni,ofisini,kanisani,msikitini,vyuoni,mashuleni ndio hawa wanaotumia jamiiforums
Humu wapo watu wa mataifa mbali mbali na tamaduni tofauti tofauti, au wa humu wote ni wa mazingira yako uliyopo?

Na hata kama mtu anatabia chafu utajuaje kwa kumpatia humu?
 
Humu wapo watu wa mataifa mbali mbali na tamaduni tofauti tofauti, au wa humu wote ni wa mazingira yako uliyopo?

Na hata kama mtu anatabia chafu utajuaje kwa kumpatia humu?
hata aliyeko nje ya jamiiforums huwezi ukamjua tabia yake mpaka utakapoishi naye
 
hata aliyeko nje ya jamiiforums huwezi ukamjua tabia yake mpaka utakapoishi naye
Sio kweli, ila kama unaamini mitandaoni ni njia sahihi ya kutafuta mpenzi endelee.

Jf humu unaona jina feki na picha feki una mpenda mtu duh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…