Mnaoshinda What'sApp

Aaah kitu cha privacy kitafaa sana maana hataona
ka uko online
 
ina hasara gani kwa taifa?

Ina hasara kubwa sana! Watu wanachelewa kupumzika/kulala na wanaamka wachovu hivyo hata utendaji kazi unaathiriwa, wanafunzi kushindwa ku-concetrate kwenye vipindi/masomo etc. Ni swala la "privacy" ila madhara yake hayabaki "private"!
 
Huyu jamaa akiingia magogoni aisee patachimbika watu wataacha (sio kuachishwa) kazi wenyewe!! Waulize makandarasi wachovu wa kujenga barabara walivyotolewa nduki na huyu jamaa. mtindo wa kufika ofisini saa 4 halafu ndo unaenda kunywa chai mwisho 24 oktoba 2015
 
Hahahahaa aisee safi xana magufuli. BRN nayo uitoe ili tufaulu ki halali maana mmmmh mpk aliyekua kilaza ana distinction
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…