Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
AiseeMimi sijui niwaweke kundi gani?
Mnajitengenezea silaha za kuwaangamiza wenyewe
Ushindwe kusea na ndugu yako iloishi nae miaka zaidi ya ishirini.. Ila unaweza kushea na mskaji au shoga yako mlokutana njiani serious?
Labda sababu sio mtu qa famjlia yako.. Ni mtu wa mbali huko
Lakini jua huyo ni binadamu kama binadamu wengine.. Siku akikuamulia umekwisha.. Na kama ndo aale wenye siri nzito umekwisha
Kiliwahi tokea kisa kikanifunza.. Nlikua na nsugu yangu huyo.. Ye alikua na shoga ake waloshibana.shoga mke wa mtu.. Basi ikawa haipiti siku bila kupigiana simu.. Mmoja akipata shida anakimbiloa kwa mwingine.. Familia zinajuana.. Walidumu karibu miaka nane.. Walosaidiana mwngi sana
Ila sikh ya siku ikafika kwa kisa kidogo sana wakashindwa kuelewana wakatibuana
Basi ndo ikawa michambano kila siku
Ndugu akamwambia "unajua nna siri zako nzito? Unakumbuka? Sasa endelea nitibue nami naachia kwa watu hadi mumeo Uone
Bibie tangu dakika hiyo kaufyata kimya...aongee hajipendi
Siri zilitumika zana ya kummaliza.
Hata angesema achia zangu sababu nna zako bado angepata hasara jubwa sana..
Huyo unaeshea nae siri zako na mabo yake siku mkikosana umefikiria itakuaje?
Tuweke kundi la amphibia
Somo zuri sana.
Kuna issue zngne bora rafiki wajue kuliko ndgu vile sometime ni za kipuuzi, sasa mfano wewe unachepuka kwa mmeo unataka na hilo uwaeleze ndgu zako?? so inategemea
Ila SIRI ni ile unayojua wewe peke ako otherwise sio siri tena
Ni kweli ila kumbuka binadamu mwenzio kukugeuka ni dakika yoyoteInategemea mkuu.. marafiki wengine ni zaidi ya ndugu ambao umezaliwa nao tumbo moja... na ndugu wengine ni zaidi ya adui... kuna ndugu wa hasara na marafiki wa faida
Sasa unamweleza mtu umechepuka ili iweje..
Mimi hata ndugu Sinaga tyme ya kumwambia mambo yangu.
Ninapoishi sasa wanatamanigi wajue maisha yangu. Lakini wa kuwaambia hayupo.
Wananionaona tu
Walio kwenye ndoa ndio huaga wanaenda kwa rafiki zao so rafiki lazima ajue tu, ni mfano tu
But Rafiki sometime ni bora kuliko ndgu, Thank me later
Me niweke tu kwenye kundi lolote nitafurahi[emoji144]
Yan wewe mwenyewe umeshindwa kukaa na siri inayokuhusu wewe mwenyewe alafu unategemea umpe ndugu yako akae nayo?
Akunaga siri ya watu wawili duniani ata kama umempa mwanao hyo sio siri tena!
atakunyanyasa akijua Siri yako balaaWatu vigeugeu sana.