Mnaopenda vimwana warefu

Duh hiyo id name yako inaendana kabisa na hii video
 
Do you know what a skit is? It means fake.
 
Mimi ni mrefu, lakini nilipataga mwanamke mrefu mrefu kweli kuliko mimi, lakini siyo kama huyo....
 
Ukianza kumlamba kutoka unyayoni hadi shingoni,lazima ufe kwa kukaukiwa mate mwilini.
 
Anavyoingia chumbani hapo mlangoni!
 
Mimi ni mrefu, lakini nilipataga mwanamke mrefu mrefu kweli kuliko mimi, lakini siyo kama huyo....
Sasa utakuaje mrefu ukisimama na aliyekuzidi urefu ?? Kubali tu wewe hapo ni mfupi hata kama ni mrefu
 
Sasa utakuaje mrefu ukisimama na aliyekuzidi urefu ?? Kubali tu wewe hapo ni mfupi hata kama ni mrefu

Na maana ya kwamba kapita ule wastani wa kuitwa mrefu... yupo kaenda hewani sana...
 
Na maana ya kwamba kapita ule wastani wa kuitwa mrefu... yupo kaenda hewani sana...
Eeeeh haya hilo nalitambua ila pamoja na hilo ni lazima kati yenu awepo mrefu na mfupi ,sio mrefu na mrefu sana
Mrefu=mfupi
 
Ina maana watu wote hapa hawatambui kuwa hii video Ni fake?
 
Chumba ni kifupi kilichotengezwa makusudi aonekane ni mrefu sana, ni story tu kama zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…