Kuna timu zinaonewa kila siku mpaka tunazeeka zinaonewa tu.Leeds peke yake anamfunga city vizuri tu, tena city akija vibaya anakula hata tatu, au uongo
Harmful shabiki mpya wa city๐
Wachezaji si watakuwa wengi sidhani kama uwanja utatosha, labda wachague wachezaji wazuri kwenye vikosi vyao na makocha wakuu wawili wacheze dhidi ya brazil, ila kwa brazil ya sasa mabishoo wanaweza kufungwaKuna timu zinaonewa kila siku mpaka tunazeeka zinaonewa tu.
Mnaonaje tukafanya mabadiliko, Brazil afungwe na Bwana na Burundi tushuhudie.
Yaani wachezaji 22 dhidi ya 11.
Hiyo bado itakuwa timu moja.Wachezaji si watakuwa wengi sidhani kama uwanja utatosha, labda wachague wachezaji wazuri kwenye vikosi vyao na makocha wakuu wawili wacheze dhidi ya brazil, ila kwa brazil ya sasa mabishoo wanaweza kufungwa
hao 11 lazima watafungwa maana hapo ni faida ya wawili kwa mmoja, ila kipa anakuwa mmoja sio ndioHiyo bado itakuwa timu moja.
Nataka 22 dhidi ya 11.
Ikiwezekana waongeze ukubwa wa viwanja.
Wala sikushangai, Hata mimi ningekuwa shabiki wa chelsea ningehama timu kwa muda ๐Nipo city kwa mkopo ๐
Huwezi kuwa ccm halafu ukawa na akiliKwa zile timu dhaifu ambazo kila mara huwa zinafungwa ili kuwepo na usawa.
Mnaonaje timu mbili zikacheza dhidi ya moja .
Yaani mfano simba icheze dhidi ya jkt na pamba.
Au Man City icheze dhidi ya Brighton ba Leeds.
Brazil dhidi ya Rwanda na Burundi yaani kuwe na fareness kidogo .