Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,920
Kuna mtazamo ambao mimi mara nyingi huwa unanishangaza sana na kwakweli huwa siuungi mkono hata kidogo.
Mtazamo huu ni ule wa kulaumu mawaziri pekee pale mambo yanapoonekana kwenda vibaya na kumuweka Raisi kando na kudai wasaidizi wake ndio tatizo na wakati mwingine watu hufikia mbali na kumshauri Raisi awaondoe baadhi ya mawaziri eti ni mizigo.
Kwa mfano watu wamekuwa wakimlaumu waziri wa utumishi kwa swala la serikali kutoajiri,kulipa madaia ya watumishi,n.k.
Sasa mimi nawauliza kwa kauli ya Raisi ya jana juu ya kutolipa stahiki za watumishu bado tu mtaendelea kumlaumu waziri pekee?
Binafsi yangu ndio maana awamu hii sioni hata umuhimu wa mabadiliko ya baraza la mawaziri japo mawaziri ndio wasaidi na washauri wa Raisi na huwa nashangaa sana tunaposhabikia tetesi za baraza la mawaziri kufanyiwa mabadiliko maana sitarajii kipya..
Kama ni kuwalamu tuwalaumu wote tu kwa baadhi ya mambo kama hil linalohusu watumishi na suluhisho pekee ni kutowarudisha CCM madarakani mwaka 2020 maana hawa jamaa pumzi imekata ila wanachofanya kwa sasa ni kujikongoja tu.
Msema mkweli ni mpenzi wa Mungu.