Mnaokimbilia kuoa na kuolewa

Mnaokimbilia kuoa na kuolewa

Ni wazi kwamba vijana na mabinti wengi wanatamani kuoa na kuolewa mtawalia. Ni jambo jema lakini fahamuni kuwa unapoteza uhuru wako ukiwemo wa kujamba kwa raha zako.
Mkuu hujui lolote.
 
[emoji4][emoji4][emoji4]si unajua mambo ya kike tena mkuu..unawaza siku uende mfano beach[emoji104][emoji104]..ila nw nnaweza kwenda kbs huko.
[emoji2][emoji2]
Sawa sawa,nmekuelewa vyema sasa,,naona ni full kujiachia now!

Safii mkuu!!!
 
Mada ishakamilika tayari?
Ndio mkuu. Hivi unajua kwamba hili jukwaa ni la kuelimisha pamoja na kuondoa stress? Ukishapambana huko kwenye jukwaa la siasa unakuja huku kupunguza stress na kupata mafunzo ya mahusiano pia.
 
Kinachoboa kwenye ndoa ni kutokuwa na ratiba za kusex ....yaan argh....!usipokuwa makini kila siku utauchezea[emoji24][emoji24][emoji24]...

jambo jingine zuri ni kufungwa zile pins za bra[emoji4][emoji4]...

Gumu na baya zaidi huwez kujiachia...kila kitu kinaenda kwa protocol[emoji30][emoji30][emoji30]..kuna siku una stimu za kufurahi na mates..lakini unawaza unaombaje ruhusa..na HUPEWI NG'O
Sasa wewe kama hutaki kupigwa mshedede daily basi ndoa haikufai, kaa kwenu
 
Back
Top Bottom