Mnaokimbilia kuoa na kuolewa

Mnaokimbilia kuoa na kuolewa

Ni wazi kwamba vijana na mabinti wengi wanatamani kuoa na kuolewa mtawalia. Ni jambo jema lakini fahamuni kuwa unapoteza uhuru wako ukiwemo wa kujamba kwa raha zako.
Ahahhahahhaa.

Mkuu ukioa utaacha utoto huo.miezi ya mwanzo utajizuia.lakini mkizowea hadi kuchamba mtachambana mbonaa
 
Ahahhahahhaa.

Mkuu ukioa utaacha utoto huo.miezi ya mwanzo utajizuia.lakini mkizowea hadi kuchamba mtachambana mbonaa
Da mkuu, kuchambana kabisa? Hii inawezekanaje iwapo tu hata kama watu ni wapenzi kwa kiasi chochote kile hawasindikizani chooni.
 
Kua uone mkuu oooohoooo.

haya mambo madogo madogo binafsi ndo yanadumisha ndoa..

huo ni mfano tuuuuuuu.
Uhalisia ni kama kuoga pamoja n.k
Da mkuu, kuchambana kabisa? Hii inawezekanaje iwapo tu hata kama watu ni wapenzi kwa kiasi chochote kile hawasindikizani chooni.
 
Kinachoboa kwenye ndoa ni kutokuwa na ratiba za kusex ....yaan argh....!usipokuwa makini kila siku utauchezea😭😭😭...

jambo jingine zuri ni kufungwa zile pins za bra😊😊...

Gumu na baya zaidi huwez kujiachia...kila kitu kinaenda kwa protocol😩😩😩..kuna siku una stimu za kufurahi na mates..lakini unawaza unaombaje ruhusa..na HUPEWI NG'O
 
Kinachoboa kwenye ndoa ni kutokuwa na ratiba za kusex ....yaan argh....!usipokuwa makini kila siku utauchezea...

jambo jingine zuri ni kufungwa zile pins za bra...

Gumu na baya zaidi huwez kujiachia...kila kitu kinaenda kwa protocol..kuna siku una stimu za kufurahi na mates..lakini unawaza unaombaje ruhusa..na HUPEWI NG'O
Vipi ile michirizi ya weupe inayotokana na kuvaa bra,ulipata tiba yake
 
Kinachoboa kwenye ndoa ni kutokuwa na ratiba za kusex ....yaan argh....!usipokuwa makini kila siku utauchezea😭😭😭...

jambo jingine zuri ni kufungwa zile pins za bra😊😊...

Gumu na baya zaidi huwez kujiachia...kila kitu kinaenda kwa protocol😩😩😩..kuna siku una stimu za kufurahi na mates..lakini unawaza unaombaje ruhusa..na HUPEWI NG'O
Unataka sex iwe na ratiba... sio mtu anapojisikia 😳
 
Ndoa tamu sana kijana, mnajambiana mnacheka na utani mwingi sana. Oa uone utamu wake iwapo wewe ni mwanamme ila kama akili ya mvulana imekutawala bado bora ubaki hivyo hivyo.
Hahaha! usikute hapa naongea na watu wazima kabisa wenye uzoefu wao.
 
Back
Top Bottom