Mnaoisifia IST msisahau Vitz New Model

Mnaoisifia IST msisahau Vitz New Model

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,692
Reaction score
13,316
Nazungumzia vitz new kuanzia toleo la 2007 zenye engine ya cc 1290 , 2sz, 1nz,2nz kuendelea hii gari haizungumziwi sana kama IST

Ila ni moja kati ya gari comfortable kwa mtu mwenye kipato cha chini na engine ya 1290 mafuta inanyonya kiasi na zinadumu sema ni kagari ambako hakazungumziwi tu
 
Nazungumzia vitz new kuanzia toleo la 2007 zenye engine ya cc 1290 , 2sz, 1nz,2nz kuendelea hii gari haizungumziwi sana kama ist ila ni moja kati ya gari comfortable kwa mtu mwenye kipato cha chini na engine ya 1290 mafuta inanyonya kiasi na zinadumu sema ni kagari ambako hakazungumziwi tu
images (53).jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom