Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,417
- 5,277
Ntazoe mara ngapi mkuu,sahizi maisha mororo,kumbe maisha magumu ilikuwa kuosha sufuria tuuuuu.Utazoea tu mkuu
Wagumu hatunaga hizo mkuu,mm mara ya mwisho kutoa single laini sijui ilikuwa lini.mm ni ngumu nyeusiDagaa mixer mtindi duuu!π€£
Wakati kukohoa au kucheka kuwa makini unaweza jikuta umelowana nyuma nzi wanakufukuzia maana siyo Kwa huo mchanganyo.
Heshima yko mkuuπWagumu hatunaga hizo mkuu,mm mara ya mwisho kutoa single laini sijui ilikuwa lini.mm ni ngumu nyeusi
Kitambi noma!Kama mjuavyo Shemeji yenu nimempa likizo (ban) akajitathimini kama ndoa inamuhusu au ina wenyewe.
Sasa Kuna mambo nimekuwa nikiyafanya maghetoni nimeona niwashirikishe masela labda itawafaa kusevu muda na kurahisisha maisha.
Kwanza kusonga ugali siku mbili za mwanzo nliona kama adhabu ya kifo hasa linapokuja suala la kuosha sufuria,ila juzi kati nimerudi ghto mida mibovu njaa inaminya nikaona nitoe dongo,ila nilivyoona sufuria nilikata tamaa maana licha ya kuwa na maukoko ya jana pia nilisahau kuloweka,nikicheki sufuria nyingine zizioni ,nlichofanya nkasema huu ukoko sio sumu nkaweka maji yakachemka nkatoa dongo, funny enough nimepika hivyo siku tatu,ya nne ndio nkaona soo kwamba niiloweke tu sufuria niioshe.Ila nimeona Ile kuosha sufuria ya ugali deile ni utumwa.
Another hack Jana nimepika wali dagaa ,Leo mchana nkasema nitoe dongo na kiporo cha dagaa ila kuonja nikaona hazipandi nikaenda chukua mtindi shop,Ile nafika ghto nkapata wazo nipashe dagaa niweke mtindi nione,duh kitu si kimetoka kama kina nazi.
Maisha rahisi sana sahizi nakuna tu kitambi hapa
πTumechoka six pack mkuu naw is time for one big pack.Kitambi noma!
Kitambi kiwe cha wastani,kisiwe cha kushuka hadi zipu haionekani!πTumechoka six pack mkuu naw is time for one big pack.
Umoja wa wanaume wanaoishi Ghetto pamoja na balozi zake zote Tanzania na nje ya nchi, leo hii tar 26/9/2023 tumekuteuwa uwe Katibu Mkuu mwandamizi wa Umoja wetu kwa ujasiri na uthubutu wako.Kama mjuavyo Shemeji yenu nimempa likizo (ban) akajitathimini kama ndoa inamuhusu au ina wenyewe.
Sasa Kuna mambo nimekuwa nikiyafanya maghetoni nimeona niwashirikishe masela labda itawafaa kusevu muda na kurahisisha maisha.
Kwanza kusonga ugali siku mbili za mwanzo nliona kama adhabu ya kifo hasa linapokuja suala la kuosha sufuria,ila juzi kati nimerudi ghto mida mibovu njaa inaminya nikaona nitoe dongo,ila nilivyoona sufuria nilikata tamaa maana licha ya kuwa na maukoko ya jana pia nilisahau kuloweka,nikicheki sufuria nyingine zizioni ,nlichofanya nkasema huu ukoko sio sumu nkaweka maji yakachemka nkatoa dongo, funny enough nimepika hivyo siku tatu,ya nne ndio nkaona soo kwamba niiloweke tu sufuria niioshe.Ila nimeona Ile kuosha sufuria ya ugali deile ni utumwa.
Another hack Jana nimepika wali dagaa ,Leo mchana nkasema nitoe dongo na kiporo cha dagaa ila kuonja nikaona hazipandi nikaenda chukua mtindi shop,Ile nafika ghto nkapata wazo nipashe dagaa niweke mtindi nione,duh kitu si kimetoka kama kina nazi.
Maisha rahisi sana sahizi nakuna tu kitambi hapa
π Nashukuru mkuu Kwa cheo hiki,nianze kwanza kujishukuru mwenyewe kwani nimepambana,pili niseme hii ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu.Umoja wa wanaume wanaoishi Ghetto pamoja na balozi zake zote Tanzania na nje ya nchi, leo hii tar 26/9/2023 tumekuteuwa uwe Katibu Mkuu mwandamizi wa Umoja wetu kwa ujasiri na uthubutu wako.
Nakutakia majukumu mema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16] Nashukuru mkuu Kwa cheo hiki,nianze kwanza kujishukuru mwenyewe kwani nimepambana,pili niseme hii ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu.
π Itakuwa ulipalia Hadi mkaa mkuu.Kuna dada kanikuta napiga wali. Akaniambia wewe kwa huo wali unavyopika sijui kama utaoa
Anatukosea sana, wali wa ghetto hauna haja ya kupalia mkaa juu, Maji yakishakauka huo umeiva over.[emoji16] Itakuwa ulipalia Hadi mkaa mkuu.