Mnaofahamu mnisaidie kuhusu namba za nyumba

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Jun 3, 2023
264
270
Kwa nyumba na viwanja vya mjini kuna plot namba hata ukienda kulipa TRA unatumia hiyo.je sasa hizi namba za nyumba zilizowekwa mwaka jana kwenye nyumba zinaoana na zile ili kurahisisha ulipaji?kama hazioani zile namba zilizoandikwa mlangoni zinafaida gani?
 
Hizo ni namba za anuani ya makazi. Bila shaka siku zijazo ndiyo umuhimu wake utaonekana.
 
Back
Top Bottom