Wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya, inakabiliwa na tatizo kubwa la umeme wa kiwango cha chini (low voltage) wakati wa mchana. Tatizo hili limekuwa sugu kwa zaidi ya miezi sita, na Tanesco wanaonekana kama wamefungia macho kwa hali hii. Matokeo yake ni kwamba vifaa vya umeme, kama vile pampu za...