jiheshimu.Wewe wenzako ni kina doto magari mwinjaku baba levo na aristotee mimi sikuwezi mkuu.
As for me, I wish you a merry ChristmasHabari za ijumaa ndugu zangu,
Kwa ndugu zangu waislamu asalam alaykum na aljumaa Mubarak na kwa ndugu zangu wakristo bwana yesu asifiwe na I wish you happy marry Christmas.Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya mwaka kumalizaka na kusherehekea sikukuu ya Christmas ndugu zangu mnaoenda kusalimia na kutembelea Wazazi ndugu jamaa na marafiki kwasababu huu ni mwisho wa mwaka msisahau yafuatayo.
Kama una simu imeharibika kioo au tatizo dogo na hauitimii kwa sasa na una mda mrefu hujaitumia beba pelekea ndugu zako huko kijijini watairekebisha na watakushukuru sana na watakuombea mema kwasababu hyo kijijini ni mali na itakuwa umefanya la maana sana.
Kama una nguo za kwako za mke wako za watoto ila haziwafai tena beba nenda nazo kijijini kwenu ukawape wadogo zako na rafiki zako na watu wenye uhitaji utabarikiwa sana ila usipige picha ukatuma kwenye mitandao ya kijamii.
**** kuna viatu na jezi zile za simba na Yanga walizovaa kina Emanuel okwi hizo kijijini ni kama jezi za sportpesa na M bet ni mali mpya kabisa usizichome beba nenda kawape ndugu zako au watu wenye uhitaji utabarikiwa na watakushukuru sana.
Kama unapoenda kuna wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari basi usisahau kuwabebea hata dictionary kwasababu ndi wakati wao huu nunua vitabu kalamu uwapelekee watakushukuru sana ila usipige picha ukatuma kwenye mitandao ya kijamii.
Kama unaenda kijijini acha sifa za kijinga wengine wanaenda kufanya show off ya watoto wao ya wake zao na gari zao mpya yaani akienda dukani hata sehemu ya karibu kawasha gari dukani akienda uwanjani ana mkwaju akienda kwenye pooltable ana mkwaju akienda masikani ana mkwaju kuwa makini husda zipo tutaandika RIP wakati wa kurudi ndio maana ajali ni nyingi wakati wa mwisho wa mwaka.
Wakati wa kurudi kama umeenda na usafiri binafsi aga wazazi wako tu wengine wote wadanganye waambie naondoka keshokutwa wakati unaamsha kesho husda zipo kuna watu umesoma nao wapo kijijini hawana mbele wala nyuma wazazi wao wanajisikia vibaya mtoto kuwa hvyo kwa hyo wanataka mfanane utakula mzinga tuandike RIP acha kiherehere mtu pekee anayefurahia mafanikio yako ni Mzazi wako tu sio rafiki zako sio ndugu zako sio mke wako labda watoto kwa mbaaaaali kuwa makini.
Ukifika kijijini acha show off yaani kuna watu akiamka asubuh anaenda kununua vitafunwa na mswaki na gari kila mtu anamshangaa yaani kama anawakomoa wana kijiji vile ana earphones ana NIKE kali yaani mpaka anaitwa hasikii mara katoa iPhone yake ndugu yangu utakula mzinga kuwa makini always remember this TRADE THEIR MIND BE A HUMAN ishi wanavyoishi wao acha kiherehere.
Nyie mlionunua gari hamjawahi kuendesha wenyewe hata kutoka dar mpaka morogoro kila siku ni ubungo to mbagala chanika buguruni mmezidi sana bagamoyo kuweni makini barabarani kuna mafuso ya nyanya na vitunguu yana wahi mzigo utaharibika hivyo endesha gari yako ya mbele na ya nyuma angalia pembeni kubali yaishe kama unataka kuwahi anza safari mapema.
VIJANA ACHENI SIFA MNAPOENDA KUSALIMIA NDUGU HAKUNA ANAYEFURAHIA MATESO VIJIJINI MAISHA MAGUMU PUNGUZA SHOW OFF.
I WISH YOU MARRY CHRISTMAS.
Habari za ijumaa ndugu zangu,

Wakienda na hvyo vitu hapo juu mkuu hata wakirudi na mkungu wa ndizi inakuwa 50/50 situation no pain no gain ila wakienda mikono mitupu halafu wakabeba mkungu wa muleba hapo sio sawa.Mbona hujawaambia wakati wakurudi wastake kubeba ma-mikungu mikubwa mikubwa bure.Wakitaka walipie hiyo ni ajira ya watu.
Sawa mkuuZingatia mkuu bibilia na Quran zote zimetaja husda.
Kijiji gani hicho mkuu? Nafikiri siyo KILIMANJARO, mambo ya kishamba kama hayo hayapo kabisa na huwezi kupelekea ndugu zako hizo takataka ulizozichoka huko mjini wakazipokea, people nowadays are civilized na hawashobokei cha mtu, wanachotaka wao ni heshima tu, kwani ukiwa mjini muda wote unafikiri wao hawavai nguo? Unafikiri hawali chakula?Habari za ijumaa ndugu zangu,
Kwa ndugu zangu waislamu asalam alaykum na aljumaa Mubarak na kwa ndugu zangu wakristo bwana yesu asifiwe na I wish you happy marry Christmas. Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya mwaka kumalizaka na kusherehekea sikukuu ya Christmas ndugu zangu mnaoenda kusalimia na kutembelea Wazazi ndugu jamaa na marafiki kwasababu huu ni mwisho wa mwaka msisahau yafuatayo.
Kama una simu imeharibika kioo au tatizo dogo na hauitimii kwa sasa na una muda mrefu hujaitumia beba pelekea ndugu zako huko kijijini watairekebisha na watakushukuru sana na watakuombea mema kwasababu hiyo kijijini ni mali na itakuwa umefanya la maana sana.
Kama una nguo za kwako za mke wako za watoto ila haziwafai tena beba nenda nazo kijijini kwenu ukawape wadogo zako na rafiki zako na watu wenye uhitaji utabarikiwa sana ila usipige picha ukatuma kwenye mitandao ya kijamii.
**** kuna viatu na jezi zile za simba na Yanga walizovaa kina Emanuel okwi hizo kijijini ni kama jezi za sportpesa na M bet ni mali mpya kabisa usizichome beba nenda kawape ndugu zako au watu wenye uhitaji utabarikiwa na watakushukuru sana.
Kama unapoenda kuna wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari basi usisahau kuwabebea hata dictionary kwasababu ndio wakati wao huu nunua vitabu kalamu uwapelekee watakushukuru sana ila usipige picha ukatuma kwenye mitandao ya kijamii.
Kama unaenda kijijini acha sifa za kijinga wengine wanaenda kufanya show off ya watoto wao ya wake zao na gari zao mpya yaani akienda dukani hata sehemu ya karibu kawasha gari dukani akienda uwanjani ana mkwaju akienda kwenye pooltable ana mkwaju akienda masikani ana mkwaju kuwa makini husda zipo tutaandika RIP wakati wa kurudi ndio maana ajali ni nyingi wakati wa mwisho wa mwaka.
Wakati wa kurudi kama umeenda na usafiri binafsi aga wazazi wako tu wengine wote wadanganye waambie naondoka keshokutwa wakati unaamsha kesho husda zipo kuna watu umesoma nao wapo kijijini hawana mbele wala nyuma wazazi wao wanajisikia vibaya mtoto kuwa hivyo kwa hiyo wanataka mfanane utakula mzinga tuandike RIP acha kiherehere mtu pekee anayefurahia mafanikio yako ni Mzazi wako tu sio rafiki zako sio ndugu zako sio mke wako labda watoto kwa mbaaaaali kuwa makini.
Ukifika kijijini acha show off yaani kuna watu akiamka asubuhi anaenda kununua vitafunwa na mswaki na gari kila mtu anamshangaa yaani kama anawakomoa wana kijiji vile ana earphones ana NIKE kali yaani mpaka anaitwa hasikii mara katoa iPhone yake ndugu yangu utakula mzinga kuwa makini always remember this TRADE THEIR MIND BE A HUMAN ishi wanavyoishi wao acha kiherehere.
Nyie mlionunua gari hamjawahi kuendesha wenyewe hata kutoka Dar mpaka Morogoro kila siku ni Ubungo to Mbagala Chanika Buguruni mmezidi sana Bagamoyo kuweni makini barabarani kuna mafuso ya nyanya na vitunguu yaana wahi mzigo utaharibika hivyo endesha gari yako ya mbele na ya nyuma angalia pembeni kubali yaishe kama unataka kuwahi anza safari mapema.
VIJANA ACHENI SIFA MNAPOENDA KUSALIMIA NDUGU HAKUNA ANAYEFURAHIA MATESO VIJIJINI MAISHA MAGUMU PUNGUZA SHOW OFF.
I WISH YOU MARRY CHRISTMAS.
Mkuu hakuna sehemu nimetaja kilimanjaro kwenda kusalimia mwisho wa mwaka sio wachaga peke yao hata wengine wanafanya kwa hyo ungetulia kwanza usome vizuri.Kijiji gani hicho mkuu? Nafikiri siyo KILIMANJARO, mambo ya kishamba kama hayo hayapo kabisa na huwezi kupelekea ndugu zako hizo takataka ulizozichoka huko mjini wakazipokea, people nowadays are civilized na hawashobokei cha mtu, wanachotaka wao ni heshima tu, kwani ukiwa mjini muda wote unafikiri wao hawavai nguo? Unafikiri hawali chakula?
Acheni ulimbukeni
Ndio maana nikuambia itakuwa katika mkoa au kijiji chako lakini siyo Kilimanjaro, wewe umefanya generalization wakati siyo kila mahali hayo mambo yapo.Mkuu hakuna sehemu nimetaja kilimanjaro kwenda kusalimia mwisho wa mwaka sio wachaga peke yao hata wengine wanafanya kwa hyo ungetulia kwanza usome vizuri.