mkuu rolla kampuni yenu inahusika na private investigation kivipi? Maelezo kidogo mkuu.
Nikirudi kwenye topic, kwa sisi tunaotafuta kazi, tuwe makini sana na muonekano pindi tunapopeleka nyara zetu ofisi flani, na pia tuziangalie mara mbilimbili hizo documents kabla hatuja submit. Kama hujiamini na lugha yako, mpe somebkdy else aipitie aweze kukagua mkosa madogo madog.
huyu jamaa anazingua hakuna graduate anaye weza kufnya kitu kama hicho katika sayari hii we mwenyewe hujui kuandika labda hyo ofisi yenu inaajiri seven leaver ndo maana mlipopata graduate mkashindwa kuzielewa barua zake chezea elimu ya chuo ww
Jamani dunia imebadilika na uenda mambo mendine ni mageni. We are A PRIVATE LICENCED INVESTIGATORS and we do the following among others; Background checks, individual history authentication, preliminary vets, professional opinion on levels of security passes to handle certain company or organization documents, in short we can provide to you any information you need. We have contacts in almost every office in the govt and many private set up, and we do record tracting. NAMEKWAMBIA JUU JUU MAANA, OUR POLICY IS, INFORMATION MUST BE PROVIDED ON THE NEED TO KNOW BASIS.mkuu rolla kampuni yenu inahusika na private investigation kivipi? Maelezo kidogo mkuu.
Nikirudi kwenye topic, kwa sisi tunaotafuta kazi, tuwe makini sana na muonekano pindi tunapopeleka nyara zetu ofisi flani, na pia tuziangalie mara mbilimbili hizo documents kabla hatuja submit. Kama hujiamini na lugha yako, mpe somebkdy else aipitie aweze kukagua mkosa madogo madog.
ingekuwa bora zaidi kama ungemshauri huyo kijana badala ya kukimbilia jamii forum kuanzisha thread na kulalamika ni bora yule anayekwambia ukweli kuliko yule anayekusema pembeniJamani mnaotafuta kazi, jifunze namna ya kuandaa nyaraka zaNU na fikiria mara mbili mbili kabla ujakabiDHI nyaraka zako. Ofsi yetu inashughulika na "private investigation" kulingana na mahitaji ya mteja. Graduate kaja kuomba kazi barua yake bora ata mwanafunzi wa form 2. kibaya zaidi kaweka nakala za vyeti vya manafunzi bora katika usafi, ukwata, na barua ya mwenyekiti wa mtaa wa kijijin kwao, bora hata angekuwa mwenyekiti wa hapa mjin "dar" . na utumbo mwingine mwingi. kibaya zaidi kavaa rundo la vikorombwenzo mikononi na shingoni=vijana wenzangu mnaita "culture". KWA MTINDO HUU MTAISHIA KULALAMIKA NA WAGENI KUCHUKUA AJIRA ZENU.