Dhumuni la mchora katuni ni kuelezea madhara ya vipodozi kwa mwili wa mwanadamu haswa kina mama...haijalishi vipodozi hivyo vinatokea wapi.
Sisi Wadanganyika ni wasahaulifu sana, kwa wenye kumbukumbu nzuri, miaka ya nyuma wanawake wengi wa Kitanzania kujikoboa ndio ilikua fashion ya mjini na madawa hayakuwa yakitoka China...sabuni kama Jaribu Tena n.k ndio zilishika hatamu.