Broken soul
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 459
- 131
Mim niliacha kuomba no. tangu nipewe no. ya mchungaji
Karibu slp.com me nipo huku kitambo,,;,,,;,,,,,, tupia box no tukumbukane kwa barua!!!!!!!!!!!!
Karibu slp.com me nipo huku kitambo,,;,,,;,,,,,, tupia box no tukumbukane kwa barua!!!!!!!!!!!!
Hahahahahaha duh nzuri sana nimeipenda . Ilikua ya mchungaji lusekelo niniMim niliacha kuomba no. tangu nipewe no. ya mchungaji
mie ni 57 lindi,afu kuna demu tumejuana mtandaoni eti anataka nimnunulie simu 150000 bila kula mzigo anadhan mi mjinga sana
Nitumie SLP yako uone kama sijakutumia barua yenye maua na alama ya moyo uliochomwa mkuki katikati na moyo unatoa na damu si una kwepa kuulizwa kunako simu?
Mim niliacha kuomba no. tangu nipewe no. ya mchungaji
ok,,,,, ngoja nikanunue karatasi ya maua na stika nikutumie fasta ndani lazima nitupie dedication song!!!!!!!!!! sijui wapenda nyimbo gani we?????????????!????
Mtoto kaogopa kukatwa bora umpe chake mapema.................
mie napenda ule wa my heart will go on wa mwanadada celine dion
Karibu slp.com me nipo huku kitambo,,;,,,;,,,,,, tupia box no tukumbukane kwa barua!!!!!!!!!!!!