Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,549
- 62,005
Huyu jamaa ni muda wa mwezi sasa, kila siku kwenye taarifa ya habari ni ziara zake katika hifadhi na mapori mbalimbali huku akiwa katika magwanda ya maliasili.
Ni wakati sasa wa kumpa credit zake, japo nae kazidisha sana makamera.
Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza hili swali. Hamisi ni msanii kama walivyo wateule wengi wa jiweKuzunguka kwake huko maporini n kwenye hifadhi sijui kunaongeza vipi watalii.
Mkuu hapo anakula maPerdiem ya kufa mtu,pia anatafuta fursa 10% kwenye madeal ya huko na yeye awe included si unajua mambo ys isisemu,chukua chako mapema.Huyu jamaa ni muda wa mwezi sasa, kila siku kwenye taarifa ya habari ni ziara zake katika hifadhi na mapori mbalimbali huku akiwa katika magwanda ya maliasili.
Ni wakati sasa wa kumpa credit zake, japo nae kazidisha sana makamera.