Mnamshauri vipi huyu?

Sasa kinachomfanya amng'aninie ni nini? Au hela inahusu lol? Mwambie a move on huyo si mume

Shost kafa kanyumbulika kwa uyo jibwana.....hela bongo basi za kawaida tu na hata sion anapatanazo faida gani
 
Loh mapenzi hayo mungu aninusuru

Ayo mapenz ya ivyo snaga......ngekua mie ngemmwajuma ndala ndefu...akipa 3 milion nenda sait....ingekua ni mgawanyo
 
Mradi alikuona mnafki wa mapenzi yao,sasa nawe muache.
Mwambie yeye ni mtu mzima anajua cha kufanya,kama kweli hajui basi asubiri siku akiletewa card ya mwaliko wa harusi jamaa anaoa ndio aje ashauriwe!!
Kujitoa fahamu tu!

Haswaaa
 
Ingekua mie na akili zangu ningeshaibomolea chini,na kuendelea na maisha,
wanaume wanavyotafuta wanawake wa kuoa hivii,
mahaba ning'ang'anie kama kupe!!!
Mwanaume.....na anamwambia ucpoangalia ii nyumba watakaa wake wenzioo
 
Ingekua mie na akili zangu ningeshaibomolea chini,na kuendelea na maisha,
wanaume wanavyotafuta wanawake wa kuoa hivii,
mahaba ning'ang'anie kama kupe!!!


Anajizibia rizk.....ashindwe tafta mbabu ka mie stress stak mtoto wa watu maana yalinfika ndio maana namuona --------
 
Mwanaume.....na anamwambia ucpoangalia ii nyumba watakaa wake wenzioo

Mwambie huyo shost yako aache uuupuzi tna ujinga
Miaka saba anatumika tuuu
Still nyumba imeandikwa jina LA mwanaume
Isitoshe kauli za mshikaj" usipoangalia watakaa wanawake wengine"

Ivi huyu Dada mifumo yake ya kufikir imekufa ooooh
Miez nane hawajaonana anafikir jamaa hagegedi huko aliko.??na hizi kauli anazomjibu
 

Labda kaekwa ndondocha maana mda mwingne nataman nimchape bakora anatudharirisha wanawake wenziee .....RAM ya kichwa chake si salama
 

Kuna mabint utakuta ni bright sana mpaka unawa admire,ila wakipenda tu wanapumbaa kabisa mpaka unashangaa ni nini kimewapata.
Wanakuwa kama wamerogwa,ukiuliza eti kapenda!!
Wanaume wenyewe hawa maji kupwa maji kujaa!!
 
Iv mwanaume anaekupenda anaeza kukwambia na utaishia kuchezewa....kiukweli cjawah ona wala ckia cjui mahaba ya wap aya..
 
Labda kaekwa ndondocha maana mda mwingne nataman nimchape bakora anatudharirisha wanawake wenziee .....RAM ya kichwa chake si salama

Leave her alone kumbe ndo wale mapenz nipotezee kama ndege ya Malaysia
Atayasaga meno

Anaweza kuhis wewe unamtaka mshikaj wake
Mwache avune anachopanda
 
Kuna mabint utakuta ni bright sana mpaka unawa admire,ila wakipenda tu wanapumbaa kabisa mpaka unashangaa ni nini kimewapata.
Wanakuwa kama wamerogwa,ukiuliza eti kapenda!!
Wanaume wenyewe hawa maji kupwa maji kujaa!!

Tia maji tia maji mwanaume mwenyewe
na haya mapenzi yatamvuruga kama bunge la katiba

Hata akiwa bright kuna stage itafika uoe this is too much
Mapenzi raha sio karaha
Sasa yy anapata karaha Afu ndo kule kujidanganya kuwa atabadilika

Tabia ya mtu ni sawa na rangi ya ngozi ni vigumu kubadilika jaman
Atafute peace of mind.anamwekea mwanaume bond atajuta
 
Leave her alone kumbe ndo wale mapenz nipotezee kama ndege ya Malaysia
Atayasaga meno

Anaweza kuhis wewe unamtaka mshikaj wake
Mwache avune anachopanda

Atavua samaki kwa pazia
 

Anasubir muujiza umshukie anazan atabadilika...c anaskiaga wengne wakisema mme wang kabadilikaa
 


Hahaaaa!
Nimependa hapo pa kumuwekea mwanaume bond.
Anafikiri kuna cheti cha uvumilivu kwenye mahusiano!!!
Atasubiri sanaaa!!!!
 
Anasubir muujiza umshukie anazan atabadilika...c anaskiaga wengne wakisema mme wang kabadilikaa


Wanaobadilika huwa wanabadilika kuwa mauza uza zaidi,wanao badilika kuwa wema ni wale ambao maisha yamewaendea mrama tu!!!
 
[/B]Hahaaaa!
Nimependa hapo pa kumuwekea mwanaume bond.
Anafikiri kuna cheti cha uvumilivu kwenye mahusiano!!!
Atasubiri sanaaa!!!!

Naona anazan tunao give up mapema hazijatutimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…