Mnamo mwaka 2021 Hamas waliomba dola milioni 500 kwa Serikali ya Iran kwa lengo la kuiangamiza Israel ndani ya muda wa miaka 2!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,188
Reaction score
9,165
Wadau hamjamboni nyote?

Gazeti la The Jerusalem Post limeripoti kuwa kundi la Hamas liliiomba Iran msaada wa kifedha wa dola milioni 500 mwaka 2021 kwa ajili ya kuliteketeza taifa la Israel ndani ya kipindi cha miaka miwili.

Taarifa hiyo inatokana na waraka uliokamatwa na wanajeshi wa Israel wakati wa uvamizi wa Gaza na kuwasilishwa kwa kitengo cha Katalogi cha ujasusi wa Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF), ambacho huchambua nyaraka za kijasusi zilizokamatwa kutoka kwa adui.

Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, siku ya Jumapili aliweka hadharani waraka huo pamoja na mawasiliano mengine akidai ni ushahidi wa wazi wa uhusiano kati ya Hamas na Iran, kuhusiana na mipango ya Hamas ya kuvamia Israel tarehe 7 Oktoba
=====================

Hamas asked Iran for $500M in 2021 to destroy Israel within 2 years, documents show

The Jerusalem Post

The document was intercepted by Israeli soldiers during the invasion of Gaza and forwarded to the IDF intelligence Catalogue unit.
Defense Minister Israel Katz on Sunday disclosed to the public a document and communications for what he said was proof of the Hamas and Iran connection relating to the Gaza terror group seeking financial support for the October 7 invasion.

The document was intercepted by Israeli soldiers during the invasion of Gaza and forwarded to the IDF intelligence Catalogue unit, which analyzes intercepted foreign intelligence items.

According to Katz, the document and communications show that Hamas requested $500 million from the Islamic Republic "to destroy Israel", sometime before or leading up to the October 7 invasion.

Further, the defense minister said that the head of Palestinian Affairs for the Islamic Revolutionary Guard Corps Quds Force, known as "Izadi," approved the request made by now-deceased Hamas leaders Yahya Sinwar and Mohammed Deif.

Katz said that Izadi said he would approve the terror financing assistance despite Tehran being under financial strain and sanctions because of the supreme importance of embracing conflict against Israel and the US.

He added that the world must realize that Iran is "the head of the snake" which has directed the malign activities of Hamas, Hezbollah, the Houthis, and terror groups in Syria and Iraq.

Despite the develation, Israeli intelligence has said Iran did not know the exact timing or plans of the October 7 invasion, but rather has focused on the idea that Hamas could not have pulled off the without IRGC training, weapons, and funding.

The IDF has discovered similar documents in the past. In February 2024, the IDF produced new documents that it obtained from tunnel areas in Khan Yunis, purporting to show the transfer of $154 million in funds from Iran to Hamas.
 
... ni ushahidi wa wazi wa uhusiano kati ya Hamas na Iran, kuhusiana na mipango ya Hamas ya kuvamia Israel tarehe 7 Oktoba.

At last yaliyofichika yanazidi kuwekwa peupe. Ushahidi usio na shaka uko hadharani japo kwa taabu na maumivu mengi kwa wasio na hatia.
 
Hupaswi kumwamini muongo(fake jewish)hata kama akiongea ukweli.
 
Chuki! Chuki! Chuki! Kuna binadamu wamekuzwa katika imani za ajabu sana!
Ulivyo mpumbavu, unaona kama nawachukia wayahudi feki wa kizungu. Pia unazania mie muislamu kwa sababu ya avatar na ID nayotumia humu jf. Wakati mie ni mkristo ambaye nimezaliwa na kubatizwa dhehebu la Roman Catholic. Lakini usichokijua ni kwamba MUNGU ni upendo wala hana dini, na pia anachukia sana uongo.

Hao hamasi sio magaidi kama wewe, na wapumbavu wengine mzaniavyo humu jf. Watu tokea wamezaliwa wapo kwenye mateso, na wamezungukwa kila sehemu bado ardhi waliochiwa na mababu zao inazidi kuporwa kimabavu na huku wakizidi kuuwawa bila sababu ya msingi na wayahudi feki wa kizungu ambao wanaishi kwa uongo ili wabakie hapo na kufanikisha ajenda za kishetani.

Hawa waongo sindio walisema Yahya sinwari amejificha kwa watoto na wanawake akiwafanya human shield lakini walionyesha video yake akiwa vitani na mpaka anakufa akiwa peke yake bila ya mwanamke yoyote na mtoto karibu yake. Sasa hawa wayahudi fake waliopiga hadi marufuku vipimo vya DNA wakijua vimezidi kuwaumbua kuwa wao ni feki Jewish, je hao ni watu wa kuaminika.
 
Wacha kujistukia wewe jinga!
 
Takata 🚮
 
jinga kweli hivi uwe na picha ya kiislam na jina la kiislam kweli mikobazi Haina akili kwahiyo we ni mkatoliki wenzio wanaodanganya hawaweki I'd kama Yako inonesha kabisa ugaidi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unamfahamu mfalme Faisal ?
 
Umeandika ujinga mwingi

Ndugu yetu mtanzania mwenzetu mjuu wa nyerere Joshua morel yuko wapi?

October 7 iwe kumbukumbu kwenu magaidi

God bless Israel
 
Kabla huyo God wako hajaibariki Israel muombe kwanza haibariki Tanganyika iondoke mikononi mwa magaidi wa CCM na awabariki muwe matajiri kama Japan,Korea,China wasio na huyo Mungu wako wa Israel.

Punguza ujinga.
 
jinga kweli hivi uwe na picha ya kiislam na jina la kiislam kweli mikobazi Haina akili kwahiyo we ni mkatoliki wenzio wanaodanganya hawaweki I'd kama Yako inonesha kabisa ugaidi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hao kwao uongo siyo dhambi

Nilikutana na mmoja akanambia yeye alikuwa mkristo tena alikuwa ni mtoto wa askofu wa Jimbo katoliki geita , yeye na mama yake walikuwa wamefunga ndoa na huyo askofu wa kanisa katoliki geita

Nikabaki namshangaa tu yaan kuanzia lini askofu akafunga ndoa

Jamaa alikuwa kapauka kachoka kinoma , nikasema umasikin huu

Sasa nilipokuja humu nikakutana na taqiya elimu ya ndugu Echolima1 nikagundua kitu hamis77
 
Back
Top Bottom