Ilikuwa ukilimiliki mademu wasomi hadi utawakataa. Alikuwa nalo mjomba na alionekana mtu wa mamtoni. Siku moja jamaa yangu akaniambia tuliibe kwani liko full dhahabu!!!! Utoto+ushamba nuksi tupu.

Kuna kiwaya cha kuchokonolea kichwa chake nakumbuka tulikuwa tunakinunua kwenye duka la muhindi pale Kisutu...tehe tehe tehe! Ikizimwa tu jirani kazama ndani kujipigisha stori anajua mambo tayari.
Matoleo yote hayo yalikuwepo. Stove ya kupampu na hilo la tambi likiitwa la mchina.
So ilikuwa chaguo lako unataka kutumia lipi.
Hili la tambi nadhani hadi leo bado yapo madukani.