Mnajisikiaje watu wengine?

Mnajisikiaje watu wengine?

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,607
Reaction score
27,607
Unaandika nyuzi halaf inakosa wachangiaji mnajisikiaje na mtu mwingine akiandika kidogo watu wamejaa kupost na uzi unatembea haswa ukitazama watu zaidi ya laki au zaidi washaufungua huo uzi mnajisikiaje (ndio maana ikafunguliwa makapuku forum kwaajili ya haya mambo ).Unakuta member ni wa mda mrefu maarufu lakin akifungua uzi chalii inakuwaje mnakuwa mshawachoka au inakuwaje,kwangu hata msipochangia wala sitojali maana sio maarufu kama kina fidofido humu .
 
Kuwaza sana kunapelekea vidonda vya tumbo

Huu uzi wako tunachangia tu maana wengine wanaandika pumba sana na wanatoa majibu ya nyodo

Sasa mtu wa hivyo nitachangia uzi wake ili nifaidi nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom