Mnaionaje W-3 framework katika development ya mobile first web based websites

Mnaionaje W-3 framework katika development ya mobile first web based websites

leoleo-tu

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2018
Posts
2,243
Reaction score
6,894
Kuna ambaye amewahi itumia au anaitumia?

Je, kama upo unaionaje? Is it as powerful as bootstrap? Maana nilianza nayo nikaona iko poa lakini niliitupa kule baada ya jamaa fulani kuniambia kuwa sio standard nihamie bootstrap.

Na swali lingine, kati ya bootstrap CND na parcel, ni option gani ambayo ni bora zaidi?

dronedrake na wengineo
 
ni kitu gani hiyo?
maana kiswanglishi ulichotandaza ni cha kiwango sana na huenda jambo lenyewe ni zito ila binafsi nimetoka kapa 100%
 
ni kitu gani hiyo?
maana kiswanglishi ulichotandaza ni cha kiwango sana na huenda jambo lenyewe ni zito ila binafsi nimetoka kapa 100%
Mkuu hata sio kiswanglish hapo kama umetoka kapa basi bila shaka wewe si mtu wa mambo za web development
 
Go with bootstrap,w-3 ni good kwa beginner , sidhani kama bongo kuna wanaotumia w-3 kihivyo ila niliwahi ona project moja wametumia ,,kama upo vizuri kwenye vannila css i suggest ujifunze tailwind
 
Go with bootstrap,w-3 ni good kwa beginner , sidhani kama bongo kuna wanaotumia w-3 kihivyo ila niliwahi ona project moja wametumia ,,kama upo vizuri kwenye vannila css i suggest ujifunze tailwind
Asante mkuu
 
Hii sina ujuzi lakini kuna Hii inaitwa AppML kama sijakosea ni mpya imetengenezwa na W3bschool Juzi tu ndo nimeiona..Kusoma documantation nikajaribu ni nzuri ma nyepesi mno na ya kisasa zaidi..ila niliachana nayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom