PeterLugomo Member Joined Aug 27, 2015 Posts 19 Reaction score 17 Sep 21, 2022 #1 Wakuu hii masters ya monitoring and evaluation kwenye market ya ajira mnaionaje.
AKILI TATU JF-Expert Member Joined Feb 10, 2016 Posts 2,666 Reaction score 2,841 Sep 21, 2022 #2 Hiyo ni ya kichawi na kiganga...imekaa roho mbaya na choyo Kwa wanadamu..achana nayo haraka ... Sina hata diploma
Hiyo ni ya kichawi na kiganga...imekaa roho mbaya na choyo Kwa wanadamu..achana nayo haraka ... Sina hata diploma
Erick Martie JF-Expert Member Joined Jun 6, 2015 Posts 341 Reaction score 371 Sep 22, 2022 #3 Ipo chuo gan mkuu, Na tafadhali iandike ikiwa na jina lake kamili Msc or arts. Ili na wengine tupate ufaham zaid
Ipo chuo gan mkuu, Na tafadhali iandike ikiwa na jina lake kamili Msc or arts. Ili na wengine tupate ufaham zaid
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,645 Reaction score 97,292 Sep 22, 2022 #4 Iandike full kijana
T the muter JF-Expert Member Joined Oct 31, 2012 Posts 1,371 Reaction score 1,863 Sep 25, 2022 #5 PeterLugomo said: Wakuu hii masters ya monitoring and evaluation kwenye market ya ajira mnaionaje. Click to expand... kama unafanya kazi kwenye miradi hasa ya wazungu ni nzuri, Ila usiende kusoma kama huna Ajira. Maana Ajira zake wanaangalia Sana experience kwanza
PeterLugomo said: Wakuu hii masters ya monitoring and evaluation kwenye market ya ajira mnaionaje. Click to expand... kama unafanya kazi kwenye miradi hasa ya wazungu ni nzuri, Ila usiende kusoma kama huna Ajira. Maana Ajira zake wanaangalia Sana experience kwanza
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 39,781 Reaction score 61,442 Sep 25, 2022 #6 Someni vitu vigumu
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,823 Reaction score 35,158 Sep 25, 2022 #7 PeterLugomo said: Wakuu hii masters ya monitoring and evaluation kwenye market ya ajira mnaionaje. Click to expand... Suala la msingi ni kujua kitu unachokisoma na kukifanya kwa bidii na ufanisi mkubwa hakuna degree mbaya chief ajira ni wewe mwenyewe
PeterLugomo said: Wakuu hii masters ya monitoring and evaluation kwenye market ya ajira mnaionaje. Click to expand... Suala la msingi ni kujua kitu unachokisoma na kukifanya kwa bidii na ufanisi mkubwa hakuna degree mbaya chief ajira ni wewe mwenyewe