Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,909
- 7,561
Wakuu mnaonaje biashara ya namna hii, kua Mimi Nina kiwanja sehem potential ila sababu ya kukosa fedha za kujenga, je ukiingia partnership na mtu ambaye ana fedha ambaye ataweza kujenga kitu kama lodge ama Air bnb...sana sana Air bnb, halafu kwenye mapato mkagawana asilimia, labda 50% kwa 50%
Je hio business Iko njema?
Je hio business Iko njema?